Wadada hata kama ni mzuri jifunze kufanya kazi, uzuri hauliwi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1616982675254.png
 
My wife'z my all.. More than my family.. We have ours.. Though mechi moja mbili za mchangani hazikosi ..she 'z my all .... I do luv her to the extent ..that .. She is my everthing ...
Ingependeza kama mwanaume akitaka kuoa mke wa pili, ahakikishe amejenga nyumba ya mke mkubwa na watoto.
 
We 'r limited ... Am not muslim .. Yet no all christians r saints .... Makosa yapo.. Lakini yupo yule ambaye kiimani ameapa kuwa nawe kwa shida na raha ..kiapo chake ndicho nami nimeapa ... Siwezi mdharau ama kumtendea baya ajue ..ntkafanya uzinzi wangu kama wanaume wote tulivyoumbwa na TAMAAA .. Sitomuonyesha wala kumdhihaki maumbile yake ambayo tumeyaleta sisi kwa kumzalisha na unyonyeshaji wake ...
 
Hivi wanaume mkishabadilisha mboga na J2 unakwenda kanisani na mke wako, unashiriki karamu ya Bwana. Muda wa kuungama mnaupata wapi?
 
Mechi ya za kirafiki zipo tu .... Na mnalijua hilo .. Hiviii mimbatumikable na baada yq uzazi ..unfikiri mmeo anauwa anapiga chafya tu pyeeeee .... Hamu Inaisha!!!
 
Back
Top Bottom