Salamu kwenu wanajamvi,
Nina dada yangu ni mwalimu wa shule ya msingi huko Iringa Kilolo. Anahitaji kuhama mkoa anaopendelea ni Morogoro. Kama kuna anaejua yeyote anaetaka kuhamia Kilolo hata kama hayuko Morogoro naomba tuwasiliane PM.
Shuktlrani
Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Mabibo, jijini Dar es Salaam natafuta kazi ya ualimu. Nina cheti daraja la III A nafundisha masomo yafuatayo:
Mathematics
Social studies
Civics and moral
Nina uzoefu miaka 5 katika shule za English Medium.
Mawasiliano yangu 0714954609 au...
Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha...
Habari za muda huu ndugu zang wa JamiiForums mimi ni kijana wa kiume nina umri 23 nina Diploma in Pharmacy (Pharmaceutical Technician) but bado sijapata leseni nategemea kufanya mtihan mwez wa kumi naishi shinyanga naomba mwenye kuweza kunipa connection au kuniajiri katika Pharmacy ya jumla au...
Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine
Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
Kumekuwa na mawazo mengi yanayotolewa hapa jukwaani na baadhi ya wadau kwa watu wenye uhitaji wa aina hiyo.
Moja ya wazo huwa najiuliza sana ni kwanini linatolewa sana ni hili.
Uza simu.
Uza simu kanunue karanga tembeza vyuoni na saiti.
Uza simu kanunue mitumba na viatu pale sijui wapi saa...
Mdogo wangu yuko katika kilele cha balehe, sasa hakwenda shule, jana niliambiwa anaumwa, leo najuzwa kua ni ashki zimemshika sana kiasi cha kuona kuumwa. Kwakua ni mambo ya kike, na siwezi ongea nae moja kwa moja wala yeye hawezi kuniambia mimi ila nawaza huu sio ugonjwa kweli au ni kawaida kwa...
Lilikuwa jambo la msingi kusimama kwa muda kupisha zoezi la chanjo kuanza bila ya kutatizika.
Muda wa kuitumia karata ya wingi wetu vizuri ili kuyajaza magereza yao sawa sawa umewadia.
Ni muhimu sana tukawaweka wazi wakatuelewa pasi na shaka kuwa:
"hatuogopi kukamatwa na tuko tayari mno...
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu ( Bachelor degree of accounting-IFM) ,Mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu.pia nina uzoefu katika application za MS Exel,MS word , MS PowerPoint, typing .
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level
Nipo dar es salaam pia naweza...
Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi.
Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi.
Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City .
leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
• Maana hasa ya 'Ujasiriamali' kama kujiajiri.
Watu wengi hukimbilia kujiajiri bila kuwa na ufahamu sahihi na halisi juu ya jambo hilo, kama hapo nyuma kwenye masomo yalio kwisha kupita nilisema, "pesa sio inayomfanya mtu kuwa tajiri, bali ni taarifa/elimu sahihi aliyonayo" vivyo hivyo kuwa...
Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama kwenye shule nchini inaboreshwa na kuhimiza matumizi sahihi ya tehama kwenye elimu kama msingi wa...
Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama kwenye shule nchini inaboreshwa na kuhimiza matumizi sahihi ya tehama kwenye elimu kama msingi wa...
Habari ya mchana,
Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya
Mobile Application
Desktop Application
Website
Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo au unayo kazi imeshindikana au umetafuta mtu akufanyie kazi ikashindikana. Basi weka komenti yako...
Shaka A. Shaka tangu amepewa nafasi hiyo amekuwa bize kujibu kila mashambulizi yanayoelekezwa ama kwa rais SSH moja kwa moja au kwa serikali yake.
Jana baada ya BBC swahili kurusha maoni ya J. J . Mnyika kuhusu kauli ya rais SSH wakati akihojiwa na chombo hicho hicho mara tukaona Shaka A. Shaka...
Habari za wakti huu;
Naandika uzi huu kwa nia nzuri kabisa ambayo najua Ndugu XAVIER DAUDI pamoja na Waziri anayehusika na UTUMISHI pia wanayo. Utumishi wa serikali/umma ni heshima kubwa sana kwa yeyote anayepata fursa ya kuajiriwa huko. Hata ni ukweli usiopingika kwamba sio kila mtu ana sifa...
Habari za asubuhi ndugu!
Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu.
Nipo tayari kujitolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.