kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Haya mafuta ya kupikia yaliyotumika yanakusanywa kwa ajili ya kazi gani?

    Kuna kampuni ambayo sitaki kuitaja jina imekuwa ikikusanya mafuta ya kupikia yaliyokwishatumika mahotelini, na mafuta haya wao huchukua bure. Kampuni ina jina la mnyama na inamalizikia na Bio Product. Haya mafuta siyo yanachakachuliwa yanarudishwa tena kwenye mzunguko? Ama kweli akili ni nywele...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi english medium school

    Habari wakuu! Mimi ni MWALIMU wa shule za msingi na awali, Natafuta kazi kwenye shule hizo:- 1.nina DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION 2.nina CERTIFICATE IN INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY. 3.NI MWALIMU WA MZURI :- *GEOGRAPHY *KISWAHILI *ENGLISH *SCIENCE...
  3. JamiiForums Tanzania Najiuliza familia ya Hamza ilishiriki kumsaidia kufanya shambulizi lile? Kwanini walaumiwe Wazazi?

    Imeandikwa na: Charles William. JUZI nimeuona 'moyo' wa Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro ukigugumia kwa hasira na uchungu. IGP Sirro ameumizwa sana na mauaji ya vijana wake (askari) wanne, yaliyofanywa na kijana Hamza Hassan Mohamed. Agosti 25, mwaka huu Hamza aliwashambulia kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada niweze kupata kazi🙏🙏

    Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani Naombeni msaada wenu tafadhal ndugu zang naamin kupitia jukwaa hili naweza kupata msaada NATANGULIZA...
  5. JamiiForums Tanzania IGP gani ulimkubali kwenye kuchapa kazi?

    Kwangu mimi mpaka kesho namkubali sana Afande Said Mwema, pale tulipata IGP! Jamaa ni mchapa kazi mzuri ambaye aliamua kulirudisha jeshi kwa raia yaani ule ushirikiano wa Askari na Jamii. Mwana jf mwenzangu wewe ulimkubali IGP yupi? Na kipi kilikuvutia kwa IGP huyo?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia, amewafukuza Makamishina wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao wakati wa Lungu

    Swali: 1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote? 2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa? 3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania 20,20,60 na namna inavyofanya kazi katika maisha

    Kwanza tumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai,afya silika na tabia njema Miongoni mwa vitu jamii nyingi inavikosa ni kulazimisha kupendwa/kukubarika katika kila hatua anayopitia, na hali hii huleta msongo wa mawazo pale inapotokea hilo hitaji lako linapokutana na vikwazo na kupelekea kujihisi una...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara kazi anaiweza, ila tukikorofishananae, tutajilaumu kumpokea

    Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga na ninahamu ya kuona club yetu msimu huu inapata mafanikio. Ujio wa Haji Manara katika timu yetu, bila shaka ni moja ya mikakati ya timu yetu katika kutafuta mafanikio, na leo katika kilele cha siku ya wananchi, Haji Manara amethibitishi uwezo...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna fundi anaye weza kuubalisha mlango wa TOYOTA SIENTA wa kuburuza kuwa mlango wa kawaida kama wa Rav4, IST?

    Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo. Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
  10. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Bila ya kurahisisha taratibu zetu za uhamiaji, ziara za Rais Samia nchi jirani zitakuwa ni kazi bure

    Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko kiurahisi, lakini ajabu Tanzania taratibu za mtu kutoka nje ni ngumu sana. Kuna masuala mengi uhamiaji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Ugavi, natafuta kazi, nipo Zanzibar

    Habari wakuu, mimi naishi Zanzibar nina shahada ya manunuzi na ugavi (procurement and supply) natafuta kazi huku huku zanzibar kwasababu nina familia inayonitegemea hivyo kwa yeyote mwenye nafasi ya ajira tafadhali tuwasiliane
  13. K

    JamiiForums Tanzania IGP wa kizazi hiki ni kazi ya kisiasa

    Kazi ya IGP imekuwa kama vile kazi ya siasa siku hizi. IGP ndiyo kiongozi wa kubambikiza kesi, kutesa wapinzani, kuzuia katiba isitekelezwe, kuongoza mauaji kama watu kupotea na kupigwa risasi. Lakini kwasababu hii IGP mfano Sirro imefikia wakati ana dharau mawaziri kwasababu ya mila zake za...
  14. JamiiForums Tanzania Oko inafanyaje kazi?

    Wataalamu hebu tusaidiane oko inayoziba pancha inafanyaje kazi? Na inafananaje? Asanteni
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ya kusimamia biashara. Nitafanya kwa juhudi kubwa

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa. Mungu akubariki sana
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya Shinyanga: Mtendaji III

    Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria. It is bordered to the...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Habari wana Jamiiforum, Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile ya kujitolea ilimradi nipate sehem ya kulala na kula tu

    Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu 🙏🙏🙏
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kupata Visa ya kuja Tanzania ni kazi kweli kweli, Uhamiaji na Mambo ya Nje mnamkwamisha Rais

    Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kimenuka huko morocco:kocha msaidizi na wengine wawili waacha kazi uto

    Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao. Mbali na kocha msaidizi lakini pia mtaalamu wa mazoezi ya viungo Jawad Sabri na daktari wa viungo Fareed Cassem kwa sababu mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…