Kimenuka huko morocco:kocha msaidizi na wengine wawili waacha kazi uto

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao.

Mbali na kocha msaidizi lakini pia mtaalamu wa mazoezi ya viungo Jawad Sabri na daktari wa viungo Fareed Cassem kwa sababu mbalimbali wameamuama kuachana na timu hiyo .

Nikiripoti kutoka katika kambi hii isiyo na vyoo ni mimi NJAAKALI BIN HATARI
 
Nilikupa report ya kambi kutokuwa na vyoo hadi Yesu moloko akawa anakojoa hovyohovyo kwa nini usiniamini kwa hili, tayari uto wanambembeleza kocha msaidizi wa Esperance ajiunge nao
Kama tukitumia tukio ulipost humu kuzingizia mtu anakojoa kumbe kakaa anafunga viatu, basi sina budi kusema wewe ni moja ya watu wa hovyo humu. Halafu si ndio wewe ulipost humu kuwa Djuma Shaban hatokuja Yanga? Acha tabia za kike za uongo na umbea
 
walimalizia pesa yake na wakalia sana wakipiga magoti ndiyo maana Mr Djuma akakubali kuja
 
Labda aondoke GSM ndio nitastuka! Mbumbumbu msimu huu tumewakamata kila kona!
Kuliko kwenda Morocco ukajisaidie nnje ni bora kubaki hapa hapa Jangwani,kama kujisaidia ni nnje kulala itakuaje?!!..

IMG_20210819_172631.jpg
 
Back
Top Bottom