Oko inafanyaje kazi?

Oko inafanyaje kazi?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,440
Reaction score
42,517
Wataalamu hebu tusaidiane oko inayoziba pancha inafanyaje kazi? Na inafananaje?

Asanteni
 
Usiweke oko...labda kama tairi umeshalichoka sana..

Ukiweka kwenye tairi za mbele gari usukani unayumba yumba ukikata kona barabara ya lami.

Baadae inaumua matairi yanavimba na kupinda pinda..

Naongea nikiwa na uzoefu wa hili..
Weka kiraka kwa ndania au piga tambi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom