kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Afisa Mteule Drj 2

    Connection ya TV na subwoofer haifanyi kazi

    Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini connection hii haifanyi kazi. Lengo langu ni sauti kutoka kwenye TV isikike kwenye...
  2. data

    DED wa Gairo aliyepiga bati asimamishwa kazi.

    Safi.. Maana ilikuwa inatia doa kwa Serikali.
  3. Q

    DED wa Gairo aliyeiba mabati ya Shule asimamishwa kazi.

  4. Makame Abdallah

    Natafuta kazi, elimu Bcs Environmental Health Officer & Health and Safety Officer expert (HSE)

    Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Science with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction...
  5. SAKA25

    Majina ya walioitwa kwenye usaili kazi za polisi mkoa wa rukwa

    Kuitwa kwenye usaili Polisi Rukwa
  6. Tripo9

    Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  7. A

    Hitaji la ajira za kazi za ndani kwa watu wenye miaka 50+ linaongezeka

    Kuna kundi kubwa la watu wazima wanaotafuta kazi za ndani. Wengine ni kutokana na changamoto za maisha, kuachwa na mume, kufiwa, kupoteza ulivyonavyo na kubidi kuanza upya, haya yote si sababu ya kuanzisha uzi huu. Watu wazima wengi wanajielewa, kazi umamwelekezi mara moja tu na huwa hawapendi...
  8. K

    Nafasi za kazi ya ict-instructor (2 posts)

    VACANCY ANNOUNCEMENT: BACKGROUND INFORMATION: KOMU College of Technology and Management (KCTM) is one of the ICT reputable College in Tanzania offering ICT professional and academic programs. The college is located in Mbeya city. The Principal is pleased to announce two vacancies for ICT...
  9. msovero

    Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  10. The Assassin

    70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
  11. E

    SoC01 Unatafuta "Connection"? Hizi ni mbinu tano (5) za kijanja na akili zitakazokusaidia kupata "Connection" ya kazi

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani. Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
  12. OMOYOGWANE

    Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

    Mods sitaki mbadili title, Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer. Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
  13. ulongo

    Nimeachishwa kazi na sijalipwa posho stahiki; je, Tume ya Usuluhishi inaweza kunisaidia?

    Wanajukwaa naomba ufafanuzi wa kitalaamu kwa wenye ufahamu kabla sijaenda TUME YA USULUHISHI WA AJIRA. Niliajiriwa na kampuni moja hapa Dar nikapewa mkataba nitafanya hiyo kazi kama miezi 10 baada ya hapo wakanipeleka mikoani nkafanya kazi huko kwa miaka 2 sasa nikaachishwa kazi huko baada ya...
  14. W

    Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
  15. D

    Kazi na simu ni sawa na nyama ya nguruwe hujikaanga yenyewe

    Leo naomba niwamegee story fupi! Chanzo cha yote haya, niliwahi tokea kumzimikia mtoto mmoja nzuri sana enzi hizo akiwa beki3 maeneo ya tabata! Nakumbuka nikiwa naanza maisha ya kujitegemea, nilipanga chumba maeneo ya Tabata! Mwenye nyumba yetu alikuwa na bomba la maji hivyo watu walikuwa...
  16. Planeti

    Kituo kinachofuata ni Kariakoo

    Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu.. Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee. Eehh Mungu unisaidie...
  17. O

    SoC01 Ni vidogo lakini vinakera, na visipofanyiwa kazi umasikini utabaki palepale

    Sasa imekuwa kama mtindo wa maisha kwa watanzania wengi, bila kufahamu kuwa wanapoteza pesa na muda mwingi ambao ungetumika katika kujenga jamii. Baadhi ya watu hasa wa maisha ya kawaida kwa kipindi hiki wameonekana wakifanya sherehe nyingi zisizo za lazima. Nabaki najiuliza nini sababu hasa...
  18. R

    Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
  19. YEHODAYA

    Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

    Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia...
  20. TheDreamer Thebeliever

    Nataka kuweka pesa fixed deposit/fixed term naombeni ushauri

    Habari wadau..! Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli? Kwa...
Back
Top Bottom