kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. S

    Haji Manara kazi anaiweza, ila tukikorofishananae, tutajilaumu kumpokea

    Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga na ninahamu ya kuona club yetu msimu huu inapata mafanikio. Ujio wa Haji Manara katika timu yetu, bila shaka ni moja ya mikakati ya timu yetu katika kutafuta mafanikio, na leo katika kilele cha siku ya wananchi, Haji Manara amethibitishi uwezo...
  2. polokwane

    Hivi kuna fundi anaye weza kuubalisha mlango wa TOYOTA SIENTA wa kuburuza kuwa mlango wa kawaida kama wa Rav4, IST?

    Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo. Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
  3. TheDreamer Thebeliever

    Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  4. Red Giant

    Bila ya kurahisisha taratibu zetu za uhamiaji, ziara za Rais Samia nchi jirani zitakuwa ni kazi bure

    Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko kiurahisi, lakini ajabu Tanzania taratibu za mtu kutoka nje ni ngumu sana. Kuna masuala mengi uhamiaji...
  5. M

    Nina shahada ya Ugavi, natafuta kazi, nipo Zanzibar

    Habari wakuu, mimi naishi Zanzibar nina shahada ya manunuzi na ugavi (procurement and supply) natafuta kazi huku huku zanzibar kwasababu nina familia inayonitegemea hivyo kwa yeyote mwenye nafasi ya ajira tafadhali tuwasiliane
  6. K

    IGP wa kizazi hiki ni kazi ya kisiasa

    Kazi ya IGP imekuwa kama vile kazi ya siasa siku hizi. IGP ndiyo kiongozi wa kubambikiza kesi, kutesa wapinzani, kuzuia katiba isitekelezwe, kuongoza mauaji kama watu kupotea na kupigwa risasi. Lakini kwasababu hii IGP mfano Sirro imefikia wakati ana dharau mawaziri kwasababu ya mila zake za...
  7. Superbug

    Oko inafanyaje kazi?

    Wataalamu hebu tusaidiane oko inayoziba pancha inafanyaje kazi? Na inafananaje? Asanteni
  8. P

    Nahitaji kazi yoyote ya kusimamia biashara. Nitafanya kwa juhudi kubwa

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa. Mungu akubariki sana
  9. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya Shinyanga: Mtendaji III

    Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria. It is bordered to the...
  10. P

    Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Habari wana Jamiiforum, Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
  11. P

    Natafuta kazi yoyote ile ya kujitolea ilimradi nipate sehem ya kulala na kula tu

    Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu 🙏🙏🙏
  12. B

    Kupata Visa ya kuja Tanzania ni kazi kweli kweli, Uhamiaji na Mambo ya Nje mnamkwamisha Rais

    Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
  13. N

    Kimenuka huko morocco:kocha msaidizi na wengine wawili waacha kazi uto

    Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao. Mbali na kocha msaidizi lakini pia mtaalamu wa mazoezi ya viungo Jawad Sabri na daktari wa viungo Fareed Cassem kwa sababu mbalimbali...
  14. K

    Kubadili kituo cha kazi kada ya elimu

    Salamu kwenu wanajamvi, Nina dada yangu ni mwalimu wa shule ya msingi huko Iringa Kilolo. Anahitaji kuhama mkoa anaopendelea ni Morogoro. Kama kuna anaejua yeyote anaetaka kuhamia Kilolo hata kama hayuko Morogoro naomba tuwasiliane PM. Shuktlrani
  15. Nickson Swai

    Nina uzoefu kufundisha shule za English Medium, natafuta kazi

    Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Mabibo, jijini Dar es Salaam natafuta kazi ya ualimu. Nina cheti daraja la III A nafundisha masomo yafuatayo: Mathematics Social studies Civics and moral Nina uzoefu miaka 5 katika shule za English Medium. Mawasiliano yangu 0714954609 au...
  16. N

    Rais Samia, jipunguzie kazi kwa kumuweka Makonda au Nape kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

    Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki: Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha...
  17. musa abel jr

    Nina Diploma in Pharmacy, natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zang wa JamiiForums mimi ni kijana wa kiume nina umri 23 nina Diploma in Pharmacy (Pharmaceutical Technician) but bado sijapata leseni nategemea kufanya mtihan mwez wa kumi naishi shinyanga naomba mwenye kuweza kunipa connection au kuniajiri katika Pharmacy ya jumla au...
  18. tonnylee

    Msaada wa muundo wa barua ya kuhama kituo Cha kazi

    Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
  19. mathsjery

    Kwanini niuze simu?

    Kumekuwa na mawazo mengi yanayotolewa hapa jukwaani na baadhi ya wadau kwa watu wenye uhitaji wa aina hiyo. Moja ya wazo huwa najiuliza sana ni kwanini linatolewa sana ni hili. Uza simu. Uza simu kanunue karanga tembeza vyuoni na saiti. Uza simu kanunue mitumba na viatu pale sijui wapi saa...
  20. Maleven

    Hisia za mapenzi zinaweza kumfanya mtu asiweze kufanya kazi?

    Mdogo wangu yuko katika kilele cha balehe, sasa hakwenda shule, jana niliambiwa anaumwa, leo najuzwa kua ni ashki zimemshika sana kiasi cha kuona kuumwa. Kwakua ni mambo ya kike, na siwezi ongea nae moja kwa moja wala yeye hawezi kuniambia mimi ila nawaza huu sio ugonjwa kweli au ni kawaida kwa...
Back
Top Bottom