kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 400 za Kazi Kigoma Ujiji, Mshahara Tsh 300,000/=

    Kigoma is a city and lake port in northwestern Tanzania, on the northeastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 215,458. Nafasi za kazi za muda
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea bure kwenye mambo yote yahusuyo ujenzi, nyumba za kupangisha na uuzaji ardhi

    Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
  3. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA MWANZA: Nauza Bajaj kwa bei ndogo

    NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076 Nauza bajaj za kila aina!! Bei nzuri tu kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho. zote ziko vijiweni zinafanya kazi MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mbowe kuwa na kesi ya kujibu ni fursa ya kujua zaidi wasiojulikana wanafanyaje kazi

    Binafsi naona kitendo cha mahakama kuamua kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Kwanza ni maumivu makubwa ya kisaikolojia na kimwili Kwa wahusika Kwa kukosa Uhuru na kushindwa kuendesha maisha Yao walivyozoea, lakini upande wa pili ni fursa Kwa Wana wa nchi hii kujua ni jinsi gani Siri Kali...
  5. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ambaye ana uwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini

    Habari zenu wakuu, Natafta kijana ambaye anauwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini kwajili ya kazi ya kunyoa. Natanguliza shukrani Mawasiliano 0655087675
  6. Acehood

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya kuandika (writing/copywriting), kutafsiri (translation), na editing "Freelancer"

    Ni matumaini yangu kuwa kila anayesoma uzi huu ni mzima wa afya. Mimi ni kijana, Nimehitimu mwaka jana (2021). Nina vifaa kama simu (smartphone) na kompyuta mpakato (laptop), vinavyoweza kuniwezesha kufanya kazi tajwa hapo awali yaani, writing/copywriting, translation na editing. Kwa...
  7. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kujifunza ujenzi katika kiwanda kidogo

    Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, tupo mtaa wa vitendo, kata ya Misugusugu, mkoa wa Pwani, namba zetu za simu 0625249605. Kituo kinaitwa "Miyomboni Shule" au Misugusugu Shule ya Msingi. Fursa za kazi zilizopo sasa ni "production Manager" kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya ujenzi vinavyoundwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Malipo ya kazi ya anuani za makazi Ilala yawe ni kidogo sana?

    Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda mfupi. Kilichonisukuma kuandika ni kuona vijana watakaofanikiwa kupata kazi hizo kulipwa ujira...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu kama mzazi wako yupo juu Serikalini, Waziri au Katibu Mkuu watu wanasema umepata kazi kwa ajili ya connection

    Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee. Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa Waziri Mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
  10. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Mara: RC Hapi Awasimamisha Kazi Watendaji; Asema Kazi Inaendelea

  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais wa CNN Jeff Zucker alifukuzwa kazi na sasa Vice President wa CNN naye afukuzwa

    Jeff zucker amefukuzwa kazi Kwa sababu ya Low ratings (CNN average viewers per day laki 4, MSNBC milion 1 na Fox News million 5 ) na coverage ya Russia hoax. CNN ATT imenunuliwa na Discovery (Discovery owner ni Trump supporter) hopefully CNN itarudi kuwa news organization. =========...
  12. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi vimbwa vina kazi gani? Naona vinapendwa sana na wadada wa mjini

    Ndo hivi vya sampuli hii...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  15. Ahmad Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Osman Kazi kwenye Kilenga cha Mwisho unapotosha ukweli

    Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League. Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17 za soka hakuna mahala popote "advantage play" imeandikwa. Swali kwako Osman, ni kweli huijui Law 5 -...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wafanyakazi wa kima cha chini enzi za Ukoloni

    Watu waliishi katika nyumba hizi, kuzipata and ni lazima mzazi awe mwajiriwa wa Railways, Bandari, Serikali Kuu nk. Kila kitu kina wakati wake, enzi hizo uliona fahari kwakaribisha wageni humu, nyumba ina maji na umeme na paa la vigae. Kule Uswahilini enzi hizo nyumba zilikuwa ni za udongo na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Chini ya DC Jerry Muro, Ikungi kazi inaendelea

    Tumeona busara kuongeza thamani ya kile lilichopo kwa makundi ya vijana, wanawake na wenyewe ulemavu kupitia maelekezo ya utoaji wa fedha asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri ya ikungi ili miradi inayobuniwa iweze kuunganisha mnyororo wa thamani katika maeneo yao Tunataka kutabadilisha...
  18. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Msigwa lazima mazingira yenu ya kazi yawe magumu kufanya kazi na Nape Nnauye

    Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari. Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za kujitolea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KUJITOLEA. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya inatangaza nafasi 45 za ajira ya kujitolea katika Kada mbalimbali kama ifuatavyo; I. Afisa Ugavi Daraja la Il (supplies Officer Il)- Nafasi 1 Awe wenye Shahada/Stashahada ya juu ya ununuzi/Ugavi kutoka katika chuo...
  20. Refrector

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Marekani

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa kitanzania ninaomba mwenye ndugu au hata mtu wa karibu ambaye anahitaji mfanyakazi iwe ni baby sister au hata house girl MAREKANI aniunganishe, Mimi nipo pia naongea Kiswahili na Kiingereza vizuri, maisha magumu sana jamani ,pia ajira ngumu sana kupata...
Back
Top Bottom