kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ludovick Utoh: Mapendekezo ya CAG huwa yanafanyiwa kazi, ila sio yote

    Aliyekuwa CAG, Ludovick Utoh amesema kuna mawaziri 8 waliachia ngazi katika awamu ya nne kutokana na ripoti za CAG. Amesema alipokuwa CAG walifanikiwa kuonesha fedha za EPA na mapendekezo yalitekelezwa japo mengine hayakutekelezwa. Kwa miaka ya hivi karibuni hakukuwa na scandal kubwa kama za...
  2. JamiiForums Tanzania Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

    Jamaa yangu alinipitia tuende somewhere kusherehekea sikukuu yetu ya Muunganisho wa Tanganyika na Tangapwani. Alikuja na gari yake mpya Toyota Rumion mwaka 2008 engine ya 1.8 actually hizi gari huwa naziona tu sikuwahi panda au dhania zingekuwa nzuri. Ndani mambo si mengi saaaana. Ila imetulia...
  3. JamiiForums Tanzania Kuzaa si kazi, kazi kubwa ni kulea

    Lilian na Vivian walikuwa majirani, wote wawili wazazi wao walikuwa maofisa waandamizi serikalini. Wote walisoma Kenya shule ya msingi na upili na walikwenda vyuoni Ulaya. Lilian alibahatika kuolewa baada ya masomo, alipata watoto wawili wa kike na wa kiume. Wa kike aliitwa Tyrana wa kiume...
  4. JamiiForums Tanzania Changamkieni kazi za Data Entry

    Hii ni kazi ya kuapply kwenye mtandao wa Upwork. Jaribu kuapply inalipa sana. LINK HII HAPA => Needs to hire Freelancers for a data entry job.
  5. JamiiForums Tanzania Mnaoomba kazi za Elimu na Afya kuweni serious

    Aisee jana katika pitapita zangu nikaona wadau wanaoomba ajira nikaona hiki ni kisanga. Yaani mtu kaandika barua kwa mkono kaipiga picha kwa simu anataka ku-upload aombe kazi. Hivi ulimwengu wa sasa mtu aanze kuhangaika na liandiko lako libaya, tena umelipiga picha kwa simu, serious? Wengine...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima. Naomba kazi ya Graphic Design kama • Kudesign logo • Kudesign business cards • Kudesign presentation Yaani kiujumla any design kwa kutumia • Adobe photoshop • Adobe Illustrator Uzoefu wangu ni miaka 2, Sijafundishwa chuo nimejifunza...
  7. JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumsifu rais Samia

    Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake. Mama amefungua mipaka. Wawekezaji wameanza kumiminika. Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa. Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi wanne Handeni kisa bwawa la Kwankambala

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo kusimamishwa kazi kwa Watumishi wanne wa Wizara ya Maji kufuatia kusuasua kwa kazi ya ujenzi wa bwawa la Kwankambala. Kikao hicho kilichofanyika Jijini...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kazi imeanza: AlMasry wazimiwa taa mazoezini huko Berkane

    Malalamiko yashaanza, kumbuka mechi ya kwanza team kipenzi ya makanjanja wa Bongo iiitwayo RS Berkane ilipigwa 2-1 hadi sasa haijajulikana kama makanjanja ya Morocco yameishupalia issue hii na kusema kwamba team yao ya nyumbani inatumia Dirty tricks kwa kufanya interviews na Tv za Misri au la...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

    Nawasalim wote Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022. Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona...
  11. JamiiForums Tanzania Nafazi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    Natangaza nafasi ya kazi ya kuuza kwenye Pharmacy, kwa mtu mwenye elimu ya Famasia, na ufahamu wa kutosha kuhusu dawa mbali mbali za binadamu. Sifa za mwombaji Awe na elimu ya Famasia ngazi ya cheti (Certificate Level) Awe na umri usiozidi miaka 40 Awe mkazi wa Dar es Salaam Maombi yote...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi IT na Graphic Design

    Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam. Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi...
  13. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

    Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kunyweni sumu wote mliochukizwa na kazi za awamu ya tano

    Mliochukizwa na ununuzi wa ndege, kunyweni sumu Mliochukizwa na upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, kunyweni sumu ya panya Mliochukizwa na ujenzi wa reli mnywe sumu, mliochukizwa na ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji, mnangoja nini kunywa sumu.? Mliochukizwa na flyover Dar kwa nini msinywe...
  15. JamiiForums Tanzania Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya. Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya...
  16. JamiiForums Tanzania TANROADS na kashfa ya kufanya kazi zisizo zao

    Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kilikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1. Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao? TANROADS...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ufundi wa mifumo ya maji safi na taka majumbani (plumbing)

    Mimi ni muhitimu was kidato cha sita masomo ya sanaa, kwa sasa najishughilisha na ufundi wa maji safi na taka majumbani (plumbing) ujuzi niliojifunza mtaani na mpaka sasa nina uzoefu wa miaka miwili. Napatikana mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai ila popote nafika. Ikiwa wahitaji huduma yangu...
  18. JamiiForums Tanzania Mawakala wa kazi za nje ya Tanzania

    Samahan naomba kujua kama kuna mawakala wanaoweza kukuunganisha na waajiri nchi za nje au namna mtu anaweza kufanya kazi huko
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Katika kiwanda chetu cha uzalishaji vifaa vya ujenzi wa kisasa kwa kutumia saruji (precast) tunatafuta msimamizi "manager" wa kiwanda. Kiwanda kina uwezo wa kuwa na wafanyakazi wa uzalishaji 21 na wasio wazalishaji 3 kwa shift moja. Tunataraji kifikie uwezo wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa halmashauri, DC na RC Tanga na Mwanza kupangiwa kazi nyingine?

    Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe. Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…