Habari Wana jukwaa?
Kampuni ninayofanyia kazi nina miaka mitano kasoro Sasa. Wakati naanza kazi kulikuwa hakuna hesabu. Iliyowahi kufungwa maana kazi yangu ni ya kihasibu. Nimepambana kwasasa kuna hesabu zilizokaguliwa za miaka sita.
Mwanzoni tulikubaliana salari kiasi kwa maelewano kwamba...
Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo...
Wanabodi habarini za hapa jukwaani.Kuna taarifa inasambaa sana kwenye magroup ya majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.Taarifa inahusiana na maombi ya kazi ya sensa.
Ukiingia kwenye hiyo link ambayo wameweka na kujisajiri mwishoni kuna hela ambayo unalipia ili kukamilisha usajiri ambayo ni...
Tanzania tuna utaratibu wa kushangaza. Mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi, tena kwa bidii na maarifa zaidi. Huko ughaibuni mtu akistaafu anaanza kusafiri kutalii. Anatulia akiburudika na michezo au hobby mbalimbali. Huku kwetu hali tofauti kabisa. Mtu akistaafu ndiyo kazi inaanza. Tena...
Askofu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Dr Mdegela amesema maaskofu wasifikiri kwamba Vijana wa leo hawajitambui kama wale wa zamani.
Mdegeka alikuwa anaongelea mgogoro wa Dayosisi ya Konde na kusema KKKT wamebobea kwa kuvunja Katiba zai wenyewe na hawana mifumo yiyote ya kushughulikia...
Leo nataka kuwapa ushauri waajiriwa. Malalamiko ya mishahara kutokutosha yamekuwa mengi, hasa kwa waajiriwa na Mama Samia.
Malalamiko yenu ni ya msingi kabisa. Lakini inabidi mjiongeze. Najua hata mkiongezewa mshahara shida ziko pale pale. Simaanishi msiongezewe, la hasha!!
Naona kuna tatizo...
Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana.
Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona.
Hatusikii...
Kijana wa kiume.
Umri wa miaka 25.
Smart,
Uwezo wa kutumia computer,
Elimu ya diploma ya kilimo,
Dereva wa gari, pikipiki, leseni class D
Kuongea na kuandika kiingereza fasaha.
0714173347
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani.
Amesema zamani walidhani ni mchakato utakaoongozwa na TCD lkn baada ya kuambiwa utakuwa unaripoti kwa rais...
Habara wapendwa poleni na majukumu.
Kijana wenu natafuta kazi ya kuosha magari.
Nina uzoefu wa kutumia mashine mbali mbali za kuoshea magari na nina uwezo wa kufanya service ndogo ndogo kwenye magari.
Ninauwezo wa kuongea Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha
Nina uwezo wa kuongea na...
Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA). Shahada hiyo imejikita kwenye masuala yafuatayo;
1. Nutritional Assessment and...
Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico.
Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa...
Habari wana Jf,
Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza.
Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi...
Tumeona maamuzi kadhaa ya kitaifa hivi karibuni yamekuwa yakitolewa kupitia uundwaji wa tume, kamati na vikosi kazi.
Tunaona imeundwa timu ya kuangalia kanuni za kuendesha mikutano ya siasa
Baadae kidogo tunaona kuna kikosi kazi cha kuangalia tume huru na kushauri kuhusu upatikanaji wa katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.