kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma: Sehemu Sahihi ya Kupeleka Malalamiko Ukifutwa Kazi

    Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022. Mwandishi: Zakaria Maseke (Advocate Candidate) MATERIAL FACTS (STORI YA KESI): -Dominic A. Kalangi alikuwa ameajiriwa na Shirika la Posta...
  3. JamiiForums Tanzania Muda gani umvumilie mwanaume ambaye hana kazi

    Kawaida inajulikana mwanaume ndio baba wa familia kuanzia huduma hadi ulinzi. Kama hana kazi, mkewe au mpenzie avumilie na kumhudumia mpaka atakapopata kazi au kibarua cha kumpatia pesa. Lakini unaweza kuhudumia familia mpaka mwanaume akajisahau kuwa nini wajibu wake na ukahisi kuchoka...
  4. JamiiForums Tanzania Majaji nchini Tunisia kuandamana kupinga kufutwa kazi kwa wenzao 57

    Majaji nchini Tunisia wanatarajiwa kugoma kwa muda wa wiki moja na kufanya maandamano ya kupinga hatua ya rais kuwafuta kazi wenzao 57. Rais Kais Saied aliwafukuza kazi majaji 57 wiki hii baada ya kuwashutumu kwa ufisadi na kuwalinda magaidi, na pia mnamo mwezi Februari alivunja Baraza Kuu la...
  5. JamiiForums Tanzania Umri Upi ni Sahihi kwa Mtu Kustaafu kazi?

    Wakuu tujadili umri sahihi kwa mtu kustaafu ni upi? Awe ni mtu binafsi anayefanya shughuli zake mwenyewe au za kuajiriw na kama ni lazima uwe na hela za kutosha kwanza ndio uamue kustaafu.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi kimeundwa na Msajili sio Rais, na wajumbe wake hawajaapa mbele ya Rais

    Tusifananishe KIKOSI KAZI na Tume za Kijaji za Nyalali, Kisanga na Warioba. Kikosi kazi hakikuundwa na Rais. Kimeundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya AZIMIO la kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofanyika Dodoma. Tume ya Nyalali, Kisanga & Warioba, zote, zilianzishwa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Sasa ajira ni za kumwaga vijana wanafanya kazi tofauti na miaka mitano iliyopita

    Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai. Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector and public sector ziko active kutoa ajira. Kila aliyesoma angalau ana cha kufanya hata kama hakikidhi...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu nimemtafutia kazi mshahara laki 3, anaikwepa, nimefowadiwa meseji zake anadai ninamnyanyasa. Nifanye nini?

    Kamaliza chuo mwaka juzi ila hadi sasa hana shughuli, alikuja hapa mjini pasaka mwaka jana ila nikamwambia abaki baki ajiskie huru hasa ukizingatia nyumbani kwangu kuna vyumba vya nje kwa hio haikuwa taabu kumuhifadhi. Sina ubaya wala hila, mimi kila wiki huwa nampa 50 kwajili ya matumizi...
  9. JamiiForums Tanzania Kazi uipende sio uhitaji tu

    Ombi kwa wahitimu wote watafutao kazi ukipata kibali cha kufanya kazi hata ya kujitolea na uifanye kwa kiwango kizuri hata mlipaji atajisikia kukushikilia Ili usiondoke maana hata kibiblia huwezi mfukuza kazi Yakobo Bali Esau utamfukiza hii yote naongelea (Performance). Fanya bure Ili...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Siri ya Pinda kuongezwa kwenye ‘Kikosi Kazi’ ni wajumbe kuelemewa na hoja ya Katiba Mpya

    Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya. Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza katiba isubiri hadi 2025 wajumbe waligawanyika kuna wanaotaka mchakato uanze sasa na kuna wanaosema...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kikosi kazi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

    Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais sisi wananchi tunataka Katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi wa 2025 katiba mpya ndiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya clinical officer

    Nina umri wa miaka 30, nimehitimu course ya tabibu msaidizi /Assistant Clinical Officer (C/A) Nipo Mwanza, lakini hata mikoa mingine nafikia nina uzoefu kazini zaidi ya miaka miwili (2) natanguliza shukrani zangu Namba zangu ni 0743 401 732
  13. JamiiForums Tanzania Ni Nchi Ajabu Tanzania kushindwa kuvuna Gesi na mafuta inasubiri sekta binafsi kazi hiyo

    Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Ofisi ya CAG yatangaza Nafasi za Kazi 104 kwa Kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja na nne (104) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
  16. JamiiForums Tanzania Mifumo ya malipo Tanzania inaongeza watu kuwa wavivu makazini

    Mtu anaenda safari analipwa 250000 kwa siku lakini mtu anayekesha na kazi mahali fulani analipwa chini ya 60000. Kwa hiyo mtu anayesafiri sana ndo anafanya kazi na sijui serikali ya mama samia imechukua kigezo gani. Kwa kweli hili halijakaa sawa maana linaendekeza nchi kuwa na wavivu...
  17. JamiiForums Tanzania Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  18. JamiiForums Tanzania Afanya kazi miaka 84 (tangu 1938) katika kampuni moja

    Kutana na Walter mpaka Guinness world record wamemtambua.
  19. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe enzi za kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu kazi za kiserikali

  20. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu kuhusu Sensa ni vyema ingefanyiwa kazi

    Nakumbuka kuna siku Waziri mkuu alisema wazi kwamba vijana ambao hawana ajira ndio wapewe kipaumbele katika kupata ajira za Sensa Kwasasa ukipitia mitandaoni utaona kila mtu ni sawa na muamba ngoma ambae huvutia kamba upande wake . Kuna watumishi wa umma ambao wanajiona wao ni bora sana kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…