Kazi uipende sio uhitaji tu

Kazi uipende sio uhitaji tu

Refrector

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
187
Reaction score
118
Ombi kwa wahitimu wote watafutao kazi ukipata kibali cha kufanya kazi hata ya kujitolea na uifanye kwa kiwango kizuri hata mlipaji atajisikia kukushikilia Ili usiondoke maana hata kibiblia huwezi mfukuza kazi Yakobo Bali Esau utamfukiza hii yote naongelea (Performance).

Fanya bure Ili ujitengenezee baadae yako namaanisha ukijitolea kwa kujituma wengi watakujua kutokana na hapo ulipo(connection).

Utapata uzoefu wa kazi yako na kujua zaidi taaluma yako kiutendaji na sio kinazalia (Experience).

Mwenda bure sio mkaa bure🙏
 
Back
Top Bottom