kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diploma ya Kilimo na Mifugo

    Ndugu ni matumaini yangu ni wazima. Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba aweze kunipa hata kama ndo inaanza...
  2. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

    Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale simba, mazembe hawana structure ya CEO, mkubwa kicheo ni President/ chairman Moise katumbi na...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akana kufanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta

    Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022. Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga. Ruto...
  4. Sidee01

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi

    Jamani nahitaji msaada wa kazi yoyote ya halali, maana hali ni mbaya kwangu. Niko tayari kwa kazi yoyote, maana ntaisha kwa njaa. Nisaidieni jamani.Nipi boko Dar.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bila connection hupati kazi

    Wanajamvi nawasalim, Katika vitu nimejifunza tujitahidi sana kama vijana kufanya kazi kwa bidii huku tukiwaandalia watoto wetu mazingira mazuri ya biashara, kama umemsomesha aje kuajiriwa basi fanya juu chini tengenza connection. Vijana wengi baada ya kumaliza vyuo na kutofanikiwa kupata ajira...
  6. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania ACP Kungu Malulu kazi yako ya kutukuka hapo Temeke tumeiona na tunakushukuru

    Nakumbuka niliwaambia watu kitendo cha ACP Kungu Malulu kuteuliwa kuwa Mkuu wa Polisi Temeke hao watoto zenu wanaojiita Panya Road muwakanye huku mtaani kuna watu walinidhihaki. Sasa kamanda Kungu Malulu ambaye alikuwa Kamanda wa Kipolisi Kanda Maalum ya Rufiji, ameanza kazi rasmi na ndani ya...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin amfuta kazi jenerali mwingine

    Anaendelea kutapatapa hajui mchawi wake nani, anayemroga yuko wapi... Vladimir Putin has sacked its highest ranked general in charged with managing its military’s logistics operations in Ukraine. Russia’s Defense Ministry announced Dmitry Bulgakov was being transferred to a new role and will...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Zungu: Ipeni nafasi Serikali ifanye kazi

    Naibu Spika, Mussa Hazzan Zungu amewataka Watanzania waungane na Serikali kwa kulipa kodi na kuacha tabia ya kutoomba risiti wanaponunua mahitaji. Zungu alisema hayo juzi ofisini kwake bungeni alipofanya mahojiano maalumu na gazeti hili kuhusu umuhimu wa kodi na vyanzo vyake. “Wananchi...
  9. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Katazo la ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu sehemu za kazi

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu. Ubaguzi kwa kigezo cha ulemavu au tofauti zozote katika sehemu ya kazi sio jambo linalotakiwa...
  10. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya kazi kwa watu wenye ulemavu

    Ni jukumu la kila mwajiri kuboresha mazingira ya kazi kwa wafanyakazi wake. Mazingira ya kazi ni lazima yawe mazuri na salama kwaajili ya kufanikisha utendaji mzuri wa kazi. Hii itasaidia kuondoa hatari ya watu kuumia au kupata ulemavu wakiwa kazini au kusaidia watu wenye ulemavu kufanya kazi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge na Wizara ya maji kazi mpaka usiku kushuhudia jitihada za upatikanaji maji Dodoma

    KAMATI YA BUNGE NA WIZARA YA MAJI KAZI MPAKA USIKU KUSHUHUDIA JITIHADA ZA UPATIKANAJI MAJI DODOMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na timu ya Wizara ya Maji pamoja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wameshuhudia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani naomba mwenye kazi anisaidie

    Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology) Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa  Namba 0765261930
  13. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nashuhudia mfuko wa NHIF haufanyi kazi

    Siku ya leo nilienda hospital fulani hapa mjini lakini cha ajabu waka tuambia mfumo wa NHIF haifanyi kazi kwahiyo tuache Kadi. Wakatuambia pia kwamba iwapo mfumo hautafanya kazi basi watatutafita na itatulazimu kulipa kwa cash.
  14. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uchungaji

    Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji. Wenu katika kazi PS: Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa Biology na Chemistry

    Mimi Ni kijana wa miaka 26 Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology) Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu...
  16. Katavi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop ikiunganishwa na Ethernet, Mobile Hotspots haifanyi kazi na WiFi inazima.

    Habari wakuu. Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini WiFi inazima, na inafanya kutokuwa na uwezo wa kuweza kushea internet. Naomba msaada wa kuweza...
  17. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu, nina shahada ya elimu.

    Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise. Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Profesa Mohamed Bakari: Kikosi Kazi cha Rais Samia hakina uhalali wa Kisheria na Kikatiba

    Profesa wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mohamed Bakari amekitahadharisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa makini na kikosi kazi, kwani kinaweza kuwa njia ya kuchelewesha maridhiano. “CHADEMA wako sahihi kususia kikosi kazi kwa sababu hakina uhalali wa kisheria...
  20. Cordy bnei shirk

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell latitude E6510(Machine ya kazi) 8GB RAM, core i7 and 500Gb ROM Kwa 375,000 tu

    Kimfaacho mtu chake,nauza machine ya kazi sababu ya shida. PC ipo poa chaji 2.5hr. Bei ni 375,000Tsh Napatikana Dar, Mikocheni. Call 0753038470.
Back
Top Bottom