kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijana kunufaika na fursa za mafunzo ya uzoefu wa kazi na uanagenzi

    VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki; Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Burundi: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu, Waziri wa Usalama kuchukua nafasi yake

    Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nabi: Mrudishe mzee wa kazi chafu Yanick Bangala acheze number 6, Bigirimana na Aucho watakufelisha mapema

    Wakuu salama, Nimeangalia mechi ya timu yangu pendwa ya wananchi jana nikagundua beki yetu inaonekana mbovu na kujichanganya simply because viungo wakabaji hawafanyi kazi yao vizuri Bigirimana na Aucho ni wazito sana wanashindwa kuendana na kasi za vijana! Nabi mrudishe Bangala number sita...
  6. Peter Acoustic

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa. Nina ujuzi wa; Diploma ya record management Diploma ya music production Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza. NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
  7. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Anaefanya kazi Azam tv sehemu ya ku-reply ajithathimini.

    Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
  8. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi. Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANESCO kufanya matengenezo ya Mfumo wa LUKU, huduma haitopatikana kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi Sept. 12-15

    Shirika la Umeme Tanzania limetangaza kufanya matengenezo hayo kwenye Kanzi Data ya Mfumo wa manunuzi ya Umeme (LUKU) ili kuongeza ufanisi. Matengenezo hayo yatachukua siku 4 kuanzia Jumatatu Septemba 12 hadi 15, 2022 na wateja wataweza kununua Umeme muda wote isipokuwa kuanzia saa 4 usiku...
  12. baby seky

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi ni binti miaka 26 Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani. Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻‍♀️🙏
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la NHIf ni mpango kazi

    Tatizo la NHIF mpango kazi wao hauendani na mapato yao, na hii ni kwa sababu hakuweka watu sahihi katika kutengeneza, mpango kazi katika shughuli zao za kila siku na mipango yao ya muda mfupi na muda mrefu. Pili, inaonyesha pia wajumbe wa bodi pia unamapungufu katika kusimamia na kuthibitisha...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli

  15. MoseKing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti Mkenya, Diana Chepkemoi apitia Jehanamu Saudi Arabia, baada ya kwenda kufanya kazi za Ndani

    This Kenyan girl called Diana Chepkemoi, Meru University student who went to find work in Saudi Arabia. She went healthy, now she is ENSLAVED. See her transformation. Our embassy has her location and employer's phone but they are sitting pretty waiting for her to die. Sad!
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kuweka utamaduni wa uchapa kazi kwa vijana?

    Imefika wakati wa kuwauliza vijana ukikutana nao, wewe unafanya nini kama ilivyokuwa zamani. Vijana wetu tena wadogo ni zaidi ya 70% ya watanzania. Ni lazima tuweke utamaduni tofauti kwa vijana wetu ili waweze kushindana na vijana wenzao kwenye nyakati hizi za ushindani. Nchi zinaungana na...
  18. PARA1212

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kutafuta kazi

    Habari zenu ndugu zangu.jina langu ni SAIDI RAMADHANI.Nikijana mtanzania ninauhitaji wa kazi kwa kazi yeyote ile ya halali Niko tayari kuifanya.kwani ninauwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. kuhusu swala la mshahara nimaelewano na muajiri pale nitakapo pata kazi kikubwa ni kazi tu...
  19. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club kazi mnayo

    Ninaangalia mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Al Hilal Nina haya niliyoyaona. 1. Timu ina vipasi fulani hivi ambavyo havina impact yoyote. 2. Simba hamna timu ya ushindani tunacheza kitoto sana. 3. Nimependa physic na height ya wachezaji wa All Hilal na hizi ndizo height tunaenda kukutana nazo...
  20. GEM mama

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha vyombo vya muziki

    Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote. Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
Back
Top Bottom