ACP Kungu Malulu kazi yako ya kutukuka hapo Temeke tumeiona na tunakushukuru

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,409
6,555
Nakumbuka niliwaambia watu kitendo cha ACP Kungu Malulu kuteuliwa kuwa Mkuu wa Polisi Temeke hao watoto zenu wanaojiita Panya Road muwakanye huku mtaani kuna watu walinidhihaki.

Sasa kamanda Kungu Malulu ambaye alikuwa Kamanda wa Kipolisi Kanda Maalum ya Rufiji, ameanza kazi rasmi na ndani ya wiki moja tu akiwa Ofisini, maturubai ni ya kutosha katika wilaya ya Temeke.

Kamanda Malulu wewe piga kazi kama uliweza kudhibiti eneo gumu huko Rufiji naamini huwezi kupashindwa hapo Temeke.

Rai yangu kwa vijana wa Temeke na Dar Es Salaam, Uhalifu haulipi. Wanaume wa kanda ya ziwa wamekuja kuwashikisha adabu.

Viva Jeshi la Polisi.
 
Back
Top Bottom