Serikali fanyieni kazi Matapeli Wengine hawa hapa. Wanajitangaza bila woga kabisa. Nchi imekuwa kama haina mwenyewe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Huu ni Utapeli wa Wazi kama Utapeli mwingine. Serikali msipookoa Wananchi wenu Wapumbavu nani atawaokoa? Au ni viongozi gani hufaidika na Michezo hii?

🔰SHERIA NA UTARATIBU WA PLATFORM YETU

MAELEZO NA SHERIA ZETU

💸📲

VIWANGO VYA KUWEKEZA NA FAIDA UTAKAYO POKEA YA ASILIMIA 100% BAADA YA SIKU TATU (AFTER 3 DAYS)
🎁UWEKEZAJI NA MALIPO🎁
100,000/= ➡ 200,000/=
200,000/= ➡ 400,000/=
300,000/= ➡ 600,000/=
400,000/= ➡ 800,000/=
500,000/= ➡ 1,000,000/=
600,000/= ➡ 1,200,000/=
700,000/= ➡ 1,400,000/=
800,000/= ➡ 1,600,000/=
900,000/= ➡ 1,800,000/=
1,000,000/= ➡ 2,000,000/=
3,000,000/= ➡ 6,000,000/=
4,000,000/= ➡ 8,000,000/=
5,000,000/= ➡ 10,000,000/=
6,000,000/= ➡ 12,000,000/=
7,000,000/= ➡ 14,000,000/=
8,000,000/= ➡ 16,000,000/=

9,000,000/= ➡ 18,000,000/=
10,000,000/= ➡ 20,000,000/=

MALIPO NI BAADA YA SIKU TATU TU, KARIBU SANA.

🤷🏼‍♀️🤷🏼‍♂️⁉️⭕🕐
Why waste your time re-inventing the wheel?
Wafanya biashara werevu hujifunza kwanza njia hizi zilizokwisha wasaidia wengine wa juu katika biashara zao na baadaye wakaweka nyongeza zao. Hii huwapa dhamana ya kuanza biashara na kuanza kuona mafanikio bila kuyumba. Kama kila wakati utataka uifanye biashara hii kwa njia zako mwenyewe, biashara hii itakuwa ngumu kwako. Utajifanyia vitu unavyovipenda lakini hutapata mapato ambayo yanatokana na watu uliowasajili (passive income).

Kama mjasiriamali mwingine ye yote lazima uwe jasiri katika kupambana na changamoto na kuwashinda watu wanaokufahamu wataokushinikiza kuiacha biashara yako. Unachokifanya wewe ni kitu tofauti na wengi wanaokuwa na hofu na vitu wasivyovielewa vizuri. Wapo watakaokutilia shaka, wengine watakukatisha tamaa na wapo watakaokuonea wivu. Kwa hiyo utakapowaambia kuwa sasa unafanya biashara ya mtandao ili kuboresha maisha yako, usishangae pale kila mmoja atakapokuja na neno lako.

Wapo watakao kushauri kwa sababu zao uachane nayo, watakaobeza na kusema hutaiweza. Utatishwa na kutolewa mifano kede kede ya watu walioshindwa na kupata hasara. Wengine watayasema hayo wakiwa na dhamira nzuri tu, lakini bahati mbaya, watakuwa wanatoa ushauri kwenye vitu aambavyo hawana ufahamu navyo. Watu wengi hawana nia kabisa ya kuwa matajiri. Wamekuzwa kuwa na kiwango kidogo cha kujitambua. Bila wao wenyewe kujitambua akili zao zinawafundisha kuamini kuwa hawastahili kufanikiwa katika maisha. Wana imani kimakosa kuwa kuna nguvu za mizimu zinazoongoza umaskini wao na kwao kufanikiwa itahitaji kazi ya ziada nje ya uwezo wao. Watu hawa ndio wengi na ndio wanaotuzunguka.

Na, hakuna kitu kinachowasumbua watu hawa zaidi ya kuoana mwenzao wanayemfahamu anapata mafanikio. Watajitahidi kufanya wawezalo kukuzuia katika njia yako ya mafanikio, hata kukuhujumu kama ikibidi. Kufikia mafanikio yako lazima uwe imara, na usitegemee ushauri wa wengine ni maisha yako! Unapohitaji kupata ushauri, jambo la busara ni kumtafuta mtu ambaye tayari alikwisha fanya biashara na kufanikiwa. Tabia ya kupata ushauri kutoka kwa watu waliokwisha fanikiwa itakuongezea uwezekano wa wewe pia kufanikiwa. Jambo jingine muhimu katika kufanikiwa katika biashara ya mtandao ni kuwa na uaminifu, uadilifu na uelewa mkubwa. Unapomshirikisha mtu kwenye biashara hii na kumweka chini yako, unakuwa mshirika wake kibiashara na mshauri wake maisha yote. Hata akijifunza mbinu za biashara na akapata mafanikio na kuwa moja ya vinara wa juu, bado watakutazama kama dira yao ya uadilifu, uwajibikaji na utamaduni wa kampuni yenu.

Tofauti na mfumo wa biashara wa zamani, biashara ya mtandao hutegemea kuaminiwa kwa mmsajili (sponsor) na wanachama walio chini yake. Kuaminiwa na uadilifu ndiyo rasilimali yako kuu kwa watu uliowasajili na kuwaongoza kwenye biashara ya mtandao. Mamilioni ya watu wamechoshwa na ubovu wa mahusiano, umbeya, siasa mbaya na kukosa uwajibikaji kwenye kazi za ajira. Uaminifu, uwajibikaji na kuishi kama jamii moja ndani ya biashara za mtandao ni vitu vitakavyomvutia zaidi mtarajiwa wako kuliko hata pesa, magari na safari za nje. Unaposema uongo kwa mtu wa chini yako hata kama ulifikiri ingemsaidia na kumvutia unakuwa umeharibu dhamana ya msingi kwa biashra hii. Wale walioapata mafanikio ya kudumu katika biashara hizi, ni wale walioishi kwa maneno yao

🔰SHUGHULI ZOTE ZINAZOFANYWA NA CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION 🔰

1⃣ 👉UUZAJI WA BIDHAA MBALIMBALI DUNIAN KOTE (BUYINGAND SELLING OF COMMODITIES)

2⃣ USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAFUTA YA PETROL NA DIESEL DUNIANI KOTE

3⃣ UNUNUZI NA UUZAJI WA FEDHA ZA KIGENI KATIKA SOKO LA DUNIA (foreign currency exchange)

4⃣ USAFIRISHAJI WA BIDHAA MBALIMBALI DUNIANI KOTE

5⃣
TUNATRADE FOREX, CRYPTOCURRENCY AND BUYING AND SELLING OF COMMODITIES KWANJIA YA MTANDAO

6⃣ UNUNUZI WA MADINI YA CHUMA, SHABA, KOPA NA DHAHABU KATIKA SOKO LA DUNIA

KUTOKANA NA SHUGHULI HIZO CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION INAZALISHA FAIDA YA ASILIMIA🔺 150%🔺 KILA SIKU NA KUTOA GAWIO LA FAIDA YAKE KAMA (KRIPTON) YA ASILIMIA 🔺100%🔻 KWA MEMBERS WAKE KILA BAADA YA SIKU TATU TU

👉 🔺🔰HIZI SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION 🔻🔰

🏵CHAMPIONS INVESTMENT🏵
🎁🏵CORPORATION🏵🎁
ni kampuni ya uwekezaji na mikopo iliyo base kwaajili ya kusaidia na kuinua kiuchumi watu wa aina tofauti tofauti vijana,wazee,wakina mama bila kuangalia Rika au jinsi fulani,champion investment ni kampuni ya kimataifa (international company) ilianzishwa mnamo octoba mwaka 2015 nchini Rwanda,champion investment ni kampuni Mama ilitambulishwa kijamii na kupewa kibari staiki cha serikari na kusimikwa jiwe la msingi mnamo April 2016 na kufanya shughuli kwa upana zaidi ndani na nje ya Africa

MAKAO MAKUU
champion investment inatoa huduma zote online service na physically (moja Kwa moja ndani ya office zetu),online service tunatoa huduma muda wote, physically tunapatikana Kenya as basement,Rwanda na Tanzania,MAKAO makuu tupo RWANDA capital Kigali via kabarnet district nearly Tenwek hospital

BRANCHES*
Champion
investment Branches zetu zinapatika Rwanda na Tanzania kwa Africa,kwa upande wa Rwanda tupo capital Mukarange Kwa *TANZANIA
Tupo Mwanza Tu.
🚶🏼‍♀️🚶🏻‍♂️Tupitie Ngudu Road.
Mwanza Ngudu Mjini, JENGO la KILIMO HOUSE PLAZA🏢 Ghorofa ya NANE, Wing A, Ofisi G, au Dirisha NO: 253,254 na 255.
Jengo linatazamana na SAYONA MIN HOUSE

Muda wa Kazi
⏰🛠️
J' tatu - Ij'maa
🕓4:00Asubuhi - 🕙10:00JIONI
KARIBUNI WOTE
NOTE
Yeye peke hutupa hekima kulingana na mioyo yetu

"Methali 12"

Vitu vitakavyo kufanya uamini na tukuaminishe kua hapa ni sehemu salama kwa uwekezaji ni kama ifuatavyo

🌲🔜 Tumesajiliwa Kisheria
🌲 🔜 Tuna ofisi Maalum
🌲 🔜 Mfumo huu unafanya kazi Duniani kote
🌲🔜 Usalama wa pesa ni asilimia 100%
🌲 🔜 Mwanachama ana haki ya kushtaki kampuni kama itaenda kinyume na makubaliano

🚩Tunayo sababu ya kufanya yote tulio elezea kua utalipwa kwa muda ulio pangwa bila kujari hasara kwa kampuni

SWALI

Nini kinafanya Pesa ijizalishe...?

JIBU ni Jepesi tu
✅☑
🤑💸
Kazi kubwa ni kutoa mikopo kwa Makampuni makubwa, hivyo pesa yako unapoiweka inakwenda kuwekeza na faida inakuja mara mbili ya kiasi ulichoweka kwani UWEKEZAJI WAKE NI WA UHAKIKA

Mfano umewekeza

100,00

Sisi tukaiweka kwenye biashara zetu ika zaa 250000 utalipwa mtaji wako wa 100,000/= pia utalipwa faida yako ya asilimia 100% ambayo ni 100,000/= itabaki 50,000/= hio ndio faida ya KAMPUNI

VIWANGO VYA KUWEKEZA NA FAIDA UTAKAYO POKEA YA ASILIMIA 100% BAADA YA SIKU TATU ( 3 DAYS)

🎁UWEKEZAJI NA MALIPO🎁
100,000/= ➡ 200,000/=
200,000/= ➡ 400,000/=
300,000/= ➡ 600,000/=
400,000/= ➡ 800,000/=
500,000/= ➡ 1,000,000/=
600,000/= ➡ 1,200,000/=
700,000/= ➡ 1,400,000/=
800,000/= ➡ 1,600,000/=
900,000/= ➡ 1,800,000/=
1,000,000/= ➡ 2,000,000/=
3,000,000/= ➡ 6,000,000/=
4,000,000/= ➡ 8,000,000/=
5,000,000/= ➡ 10,000,000/=
6,000,000/= ➡ 12,000,000/=
7,000,000/= ➡ 14,000,000/=
8,000,000/= ➡ 16,000,000/=
9,000,000/= ➡ 18,000,000/=
10,000,000/= ➡ 20,000,000/=
MALIPO NI BAADA YA SIKU TATU TU

🎁🏵🔰SHERIA NA UTARATIBU WA PLATFORM🔰🏵🎁

DOUBLE YOUR MONEY WITH CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION

🔔💰😃🔰

1⃣ UMRI WA KUJIUNGA NA FURSA HII NIKUANZIA MIAKA KUMI NA NANE 🔞

2⃣ Usalama wa fedha zako ni mkubwa maana tumesajiriwa na TRA, TCRA na BRELA na BOT.

3⃣ Member akifikisha mwezi mmoja wa mafanikio katika platform ya CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION anapewa uadimini wa group kama atapenda

4⃣ Baada ya member kupokea malipo Sio lazima awekeze ni hiari ya member mwenyewe

5⃣ Uwekezaji nikuanzia Laki Moja hadi Million Hamsini kwa SIKU na baada ya kuwekeza utalipia malipo ya Usajili na Kiingilio Laki Tatu na Tisini na Tisa Tu. Aidha member huruhusiwi kuwekeza chini ya kiwango wala zaidi ya kiwango kwa siku🙏

6⃣ Pesa haitarudishwa kwa yeyote atakayea Ahirisha au kushindwa kukamilisha Usajili Wake

7⃣ MAMLAKA ya MAWASILIANO TANZANIA itoa tozo kwa kila Mwanachama mpya Laki Nne na Tisini na Tisa bila Ongezeko la thamani (VAT) 18%, italipwa baada ya Kujaza form ya SERIKALI

8️⃣ UKIFIKISHA MIEZI SITA RUKSA KUMSHIRIKISHA NDUGU, JAMAA HATA RAFIKI KAMA UTAONA INAFAA ILI NA YEYE AWEZE KUNUFAIKA PAMOJA NA COMMUNITY YA CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION

AHSANTE👏👏

🏢Kwa *TANZANIA Tupo Mwanza Tu.

Screenshot_2022-11-29-08-28-31-851_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2022-11-29-08-28-41-728_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2022-11-29-08-28-51-336_com.whatsapp~2.jpg
 
Hawa wapo muda mrefu tuu na kuna wapuuzi walikuwa wakiniunga kwenye magroup yao whatsaap kila nikitoka nakuta wameniunga.

Brela waache kuonesha usajili wa kampuni bila kuonesha kazi husika ya hiyo kampuni, hapo halmashauri wamepigwa changa na wameandika ushauri wa kibiashara, hii inaonesha wahusika wa hizi mamlaka za usajili ni wazembe na si wafatiliaji wanaishia ofisini tuu au na wao ni wahusika wa hizi kampuni.

Moja ya taratibu ya kusajili kampuni najua brela lazima wajiridhishe na ofisi yako sasa mpaka mnasajili ni kwamba mmeridhika jee baada ya miezi 3 au 6 huwa mnarudi tena kutazama msajiliwa anaendelea na kile alichojisajilia?

Kuna uzembe mkubwa sanawanachojua ni kutaka malipo ya leseni tuu kila mwaka baasi.
 
Hizi ponzi scheme za kuchangamkia fursa mwanzoni kabla watu awajawa wengi chukua pesa yako
 
Huu ni Utapeli wa Wazi kama Utapeli mwingine. Serikali msipookoa Wananchi wenu Wapumbavu nani atawaokoa? Au ni viongozi gani hufaidika na Michezo hii?

🔰SHERIA NA UTARATIBU WA PLATFORM YETU

MAELEZO NA SHERIA ZETU

💸📲

VIWANGO VYA KUWEKEZA NA FAIDA UTAKAYO POKEA YA ASILIMIA 100% BAADA YA SIKU TATU (AFTER 3 DAYS)
🎁UWEKEZAJI NA MALIPO🎁
100,000/= ➡ 200,000/=
200,000/= ➡ 400,000/=
300,000/= ➡ 600,000/=
400,000/= ➡ 800,000/=
500,000/= ➡ 1,000,000/=
600,000/= ➡ 1,200,000/=
700,000/= ➡ 1,400,000/=
800,000/= ➡ 1,600,000/=
900,000/= ➡ 1,800,000/=
1,000,000/= ➡ 2,000,000/=
3,000,000/= ➡ 6,000,000/=
4,000,000/= ➡ 8,000,000/=
5,000,000/= ➡ 10,000,000/=
6,000,000/= ➡ 12,000,000/=
7,000,000/= ➡ 14,000,000/=
8,000,000/= ➡ 16,000,000/=

9,000,000/= ➡ 18,000,000/=
10,000,000/= ➡ 20,000,000/=

MALIPO NI BAADA YA SIKU TATU TU, KARIBU SANA.

🤷🏼‍♀️🤷🏼‍♂️⁉️⭕🕐
Why waste your time re-inventing the wheel?
Wafanya biashara werevu hujifunza kwanza njia hizi zilizokwisha wasaidia wengine wa juu katika biashara zao na baadaye wakaweka nyongeza zao. Hii huwapa dhamana ya kuanza biashara na kuanza kuona mafanikio bila kuyumba. Kama kila wakati utataka uifanye biashara hii kwa njia zako mwenyewe, biashara hii itakuwa ngumu kwako. Utajifanyia vitu unavyovipenda lakini hutapata mapato ambayo yanatokana na watu uliowasajili (passive income).

Kama mjasiriamali mwingine ye yote lazima uwe jasiri katika kupambana na changamoto na kuwashinda watu wanaokufahamu wataokushinikiza kuiacha biashara yako. Unachokifanya wewe ni kitu tofauti na wengi wanaokuwa na hofu na vitu wasivyovielewa vizuri. Wapo watakaokutilia shaka, wengine watakukatisha tamaa na wapo watakaokuonea wivu. Kwa hiyo utakapowaambia kuwa sasa unafanya biashara ya mtandao ili kuboresha maisha yako, usishangae pale kila mmoja atakapokuja na neno lako.

Wapo watakao kushauri kwa sababu zao uachane nayo, watakaobeza na kusema hutaiweza. Utatishwa na kutolewa mifano kede kede ya watu walioshindwa na kupata hasara. Wengine watayasema hayo wakiwa na dhamira nzuri tu, lakini bahati mbaya, watakuwa wanatoa ushauri kwenye vitu aambavyo hawana ufahamu navyo. Watu wengi hawana nia kabisa ya kuwa matajiri. Wamekuzwa kuwa na kiwango kidogo cha kujitambua. Bila wao wenyewe kujitambua akili zao zinawafundisha kuamini kuwa hawastahili kufanikiwa katika maisha. Wana imani kimakosa kuwa kuna nguvu za mizimu zinazoongoza umaskini wao na kwao kufanikiwa itahitaji kazi ya ziada nje ya uwezo wao. Watu hawa ndio wengi na ndio wanaotuzunguka.

Na, hakuna kitu kinachowasumbua watu hawa zaidi ya kuoana mwenzao wanayemfahamu anapata mafanikio. Watajitahidi kufanya wawezalo kukuzuia katika njia yako ya mafanikio, hata kukuhujumu kama ikibidi. Kufikia mafanikio yako lazima uwe imara, na usitegemee ushauri wa wengine ni maisha yako! Unapohitaji kupata ushauri, jambo la busara ni kumtafuta mtu ambaye tayari alikwisha fanya biashara na kufanikiwa. Tabia ya kupata ushauri kutoka kwa watu waliokwisha fanikiwa itakuongezea uwezekano wa wewe pia kufanikiwa. Jambo jingine muhimu katika kufanikiwa katika biashara ya mtandao ni kuwa na uaminifu, uadilifu na uelewa mkubwa. Unapomshirikisha mtu kwenye biashara hii na kumweka chini yako, unakuwa mshirika wake kibiashara na mshauri wake maisha yote. Hata akijifunza mbinu za biashara na akapata mafanikio na kuwa moja ya vinara wa juu, bado watakutazama kama dira yao ya uadilifu, uwajibikaji na utamaduni wa kampuni yenu.

Tofauti na mfumo wa biashara wa zamani, biashara ya mtandao hutegemea kuaminiwa kwa mmsajili (sponsor) na wanachama walio chini yake. Kuaminiwa na uadilifu ndiyo rasilimali yako kuu kwa watu uliowasajili na kuwaongoza kwenye biashara ya mtandao. Mamilioni ya watu wamechoshwa na ubovu wa mahusiano, umbeya, siasa mbaya na kukosa uwajibikaji kwenye kazi za ajira. Uaminifu, uwajibikaji na kuishi kama jamii moja ndani ya biashara za mtandao ni vitu vitakavyomvutia zaidi mtarajiwa wako kuliko hata pesa, magari na safari za nje. Unaposema uongo kwa mtu wa chini yako hata kama ulifikiri ingemsaidia na kumvutia unakuwa umeharibu dhamana ya msingi kwa biashra hii. Wale walioapata mafanikio ya kudumu katika biashara hizi, ni wale walioishi kwa maneno yao

MALIPO NI BAADA YA SIKU TATU TU, KARIBU SANA.

🔰SHUGHULI ZOTE ZINAZOFANYWA NA CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION 🔰

1⃣ 👉UUZAJI WA BIDHAA MBALIMBALI DUNIAN KOTE (BUYINGAND SELLING OF COMMODITIES)

2⃣ USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAFUTA YA PETROL NA DIESEL DUNIANI KOTE

3⃣ UNUNUZI NA UUZAJI WA FEDHA ZA KIGENI KATIKA SOKO LA DUNIA (foreign currency exchange)

4⃣ USAFIRISHAJI WA BIDHAA MBALIMBALI DUNIANI KOTE

5⃣
TUNATRADE FOREX, CRYPTOCURRENCY AND BUYING AND SELLING OF COMMODITIES KWANJIA YA MTANDAO

6⃣ UNUNUZI WA MADINI YA CHUMA, SHABA, KOPA NA DHAHABU KATIKA SOKO LA DUNIA

KUTOKANA NA SHUGHULI HIZO CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION INAZALISHA FAIDA YA ASILIMIA🔺 150%🔺 KILA SIKU NA KUTOA GAWIO LA FAIDA YAKE KAMA (KRIPTON) YA ASILIMIA 🔺100%🔻 KWA MEMBERS WAKE KILA BAADA YA SIKU TATU TU

👉 🔺🔰HIZI SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION 🔻🔰

🏵CHAMPIONS INVESTMENT🏵
🎁🏵CORPORATION🏵🎁
ni kampuni ya uwekezaji na mikopo iliyo base kwaajili ya kusaidia na kuinua kiuchumi watu wa aina tofauti tofauti vijana,wazee,wakina mama bila kuangalia Rika au jinsi fulani,champion investment ni kampuni ya kimataifa (international company) ilianzishwa mnamo octoba mwaka 2015 nchini Rwanda,champion investment ni kampuni Mama ilitambulishwa kijamii na kupewa kibari staiki cha serikari na kusimikwa jiwe la msingi mnamo April 2016 na kufanya shughuli kwa upana zaidi ndani na nje ya Africa

MAKAO MAKUU
champion investment inatoa huduma zote online service na physically (moja Kwa moja ndani ya office zetu),online service tunatoa huduma muda wote, physically tunapatikana Kenya as basement,Rwanda na Tanzania,MAKAO makuu tupo RWANDA capital Kigali via kabarnet district nearly Tenwek hospital

BRANCHES*
Champion
investment Branches zetu zinapatika Rwanda na Tanzania kwa Africa,kwa upande wa Rwanda tupo capital Mukarange Kwa *TANZANIA
Tupo Mwanza Tu.
🚶🏼‍♀️🚶🏻‍♂️Tupitie Ngudu Road.
Mwanza Ngudu Mjini, JENGO la KILIMO HOUSE PLAZA🏢 Ghorofa ya NANE, Wing A, Ofisi G, au Dirisha NO: 253,254 na 255.
Jengo linatazamana na SAYONA MIN HOUSE

Muda wa Kazi
⏰🛠️
J' tatu - Ij'maa
🕓4:00Asubuhi - 🕙10:00JIONI
KARIBUNI WOTE
NOTE
Yeye peke hutupa hekima kulingana na mioyo yetu

"Methali 12"

Vitu vitakavyo kufanya uamini na tukuaminishe kua hapa ni sehemu salama kwa uwekezaji ni kama ifuatavyo

🌲🔜 Tumesajiliwa Kisheria
🌲 🔜 Tuna ofisi Maalum
🌲 🔜 Mfumo huu unafanya kazi Duniani kote
🌲🔜 Usalama wa pesa ni asilimia 100%
🌲 🔜 Mwanachama ana haki ya kushtaki kampuni kama itaenda kinyume na makubaliano

🚩Tunayo sababu ya kufanya yote tulio elezea kua utalipwa kwa muda ulio pangwa bila kujari hasara kwa kampuni

SWALI

Nini kinafanya Pesa ijizalishe...?

JIBU ni Jepesi tu
✅☑
🤑💸
Kazi kubwa ni kutoa mikopo kwa Makampuni makubwa, hivyo pesa yako unapoiweka inakwenda kuwekeza na faida inakuja mara mbili ya kiasi ulichoweka kwani UWEKEZAJI WAKE NI WA UHAKIKA

Mfano umewekeza

100,00

Sisi tukaiweka kwenye biashara zetu ika zaa 250000 utalipwa mtaji wako wa 100,000/= pia utalipwa faida yako ya asilimia 100% ambayo ni 100,000/= itabaki 50,000/= hio ndio faida ya KAMPUNI

VIWANGO VYA KUWEKEZA NA FAIDA UTAKAYO POKEA YA ASILIMIA 100% BAADA YA SIKU TATU ( 3 DAYS)

🎁UWEKEZAJI NA MALIPO🎁
100,000/= ➡ 200,000/=
200,000/= ➡ 400,000/=
300,000/= ➡ 600,000/=
400,000/= ➡ 800,000/=
500,000/= ➡ 1,000,000/=
600,000/= ➡ 1,200,000/=
700,000/= ➡ 1,400,000/=
800,000/= ➡ 1,600,000/=
900,000/= ➡ 1,800,000/=
1,000,000/= ➡ 2,000,000/=
3,000,000/= ➡ 6,000,000/=
4,000,000/= ➡ 8,000,000/=
5,000,000/= ➡ 10,000,000/=
6,000,000/= ➡ 12,000,000/=
7,000,000/= ➡ 14,000,000/=
8,000,000/= ➡ 16,000,000/=
9,000,000/= ➡ 18,000,000/=
10,000,000/= ➡ 20,000,000/=
MALIPO NI BAADA YA SIKU TATU TU

🎁🏵🔰SHERIA NA UTARATIBU WA PLATFORM🔰🏵🎁

DOUBLE YOUR MONEY WITH CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION

🔔💰😃🔰

1⃣ UMRI WA KUJIUNGA NA FURSA HII NIKUANZIA MIAKA KUMI NA NANE 🔞

2⃣ Usalama wa fedha zako ni mkubwa maana tumesajiriwa na TRA, TCRA na BRELA na BOT.

3⃣ Member akifikisha mwezi mmoja wa mafanikio katika platform ya CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION anapewa uadimini wa group kama atapenda

4⃣ Baada ya member kupokea malipo Sio lazima awekeze ni hiari ya member mwenyewe

5⃣ Uwekezaji nikuanzia Laki Moja hadi Million Hamsini kwa SIKU na baada ya kuwekeza utalipia malipo ya Usajili na Kiingilio Laki Tatu na Tisini na Tisa Tu. Aidha member huruhusiwi kuwekeza chini ya kiwango wala zaidi ya kiwango kwa siku🙏

6⃣ Pesa haitarudishwa kwa yeyote atakayea Ahirisha au kushindwa kukamilisha Usajili Wake

7⃣ MAMLAKA ya MAWASILIANO TANZANIA itoa tozo kwa kila Mwanachama mpya Laki Nne na Tisini na Tisa bila Ongezeko la thamani (VAT) 18%, italipwa baada ya Kujaza form ya SERIKALI

8️⃣ UKIFIKISHA MIEZI SITA RUKSA KUMSHIRIKISHA NDUGU, JAMAA HATA RAFIKI KAMA UTAONA INAFAA ILI NA YEYE AWEZE KUNUFAIKA PAMOJA NA COMMUNITY YA CHAMPIONS INVESTMENT CORPORATION

AHSANTE👏👏

Vitu vitakavyo kufanya uamini na tukuaminishe kua hapa ni sehemu salama kwa uwekezaji ni kama ifuatavyo

🌲🔜 Tumesajiliwa Kisheria
🌲 🔜 Tuna ofisi Maalum
🌲 🔜 Mfumo huu unafanya kazi Duniani kote
🌲🔜 Usalama wa pesa ni asilimia 100%
🌲 🔜 Mwanachama ana haki ya kushtaki kampuni kama itaenda kinyume na makubaliano

🚩Tunayo sababu ya kufanya yote tulio elezea kua utalipwa kwa muda ulio pangwa bila kujari hasara kwa kampuni

🏢Kwa *TANZANIA Tupo Mwanza Tu.
🚶🏼‍♀️🚶🏻‍♂️Tupitie Ngudu Road.
Mwanza Ngudu Mjini, JENGO la KILIMO HOUSE PLAZA🏢 Ghorofa ya NANE, Wing A, Ofisi G, au Dirisha NO: 253,254 na 255.
Jengo linatazamana na SAYONA MIN HOUSE

Muda wa Kazi
⏰🛠️
J' tatu - Ij'maa
🕓4:00Asubuhi - 🕙10:00JIONI
KARIBUNI WOTE

View attachment 2430448View attachment 2430449View attachment 2430451
USITEGEMEE SERIKALI.

Huoni Documents z serikali hapo.

download.jpeg
 
Back
Top Bottom