Anaesthetist (Mtaalam wa kutoa dawa za usingizi na nusu kabuti) natafuta kazi

Newsprit

Member
Nov 26, 2022
84
245
Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT.

Nina uzoefu wa miaka 2 kama ANAESTHETIST. Ninakuja kwenu kama kuna hospitali inahitaji anaesthetist tafadhali naomba nafasi hiyo.
 
Duh! Ila kuna taaluma za hatari sana.

Natoa wito kwa Serikali ianze kuajiri nyie kwanza kabla ya wengine.

Hivi mtu wa aina yako akikasirika kwa kukosa ajira akaamua atumie ujuzi alionao kutoa hasira kwa kudhuru watu, sijui itakuwaje!

wizy
 
😂😂😂😂😂Hahhhh Yani anakupa dawa zq usingizi hata wa wiki tatu kudadeki
 
Sasa ss tumesomea afya ya AKILI tukikupa dawa si ndiyo bas tena unashangaa hilo tuuu
Tunaheshimu utu tuliapa ila hatufanyi baya tunaomba Mungu atupeee kazi ndiyo hivyoo hatupat
 
Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa

Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji" surgical masks/ medical masks"

Au kama unataka kununua barakoa kwa bei ya kiwandani wasiliana nasi

Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii na kuwa wakala wetu wasiliana nasi 0672883050
 
Mkuu ni kabuti au kaputi

Unaanza kutia shaka usije ukatoa propanolol badala ya propofol!
Wewe jamaa inaonekana una roho mbaya sana. Wewe huwezi kufanikiwa kwenye haya maisha .Yaani badala umsaidie wapi apate kazi wewe umejikita kwenye spelling . Typing error kwenye kwa mgeni ambaye ndo mara ya kwanza kuingia humu na inaonekana ameingia kwa ajili ya kutafuta ajira wewe unaanza ku-undermine. Idiot kabisa. Watanzania kwanini tuko hivyo?
 
roho mbaya hii mzee
Kama huwezi kuita chepe chepe na sio kijiko kikubwa basi hio ndo roho mbaya mkuu

Makosa ya kiuandishi ni big turnoff kwa waajiri

Ndo maana hata ukifatilia makala za kuomba kazi unaambiwa barua yako ya application na cv zikiwa na makosa ya kiuandishi hata email yako haijibiwi

Its a cruel world mkuu and only the strong and smart people take hold of it!
 
Sawa mzee lakini hatuishi hivyo aseeh kwahiyo tuseme wewe spelling hukoseagi ?
 
Back
Top Bottom