kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk aagiza wafanyakazi wa Twitter wawajibike kwa masaa mengi au waache kazi

    Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalumu hadi kufikia leo Nov 17, 2022 jioni wawe wamezikabidhi. Musk amesema "ili kwenda mbele, na kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kurudisha chombo cha anga za juu cha Tianzhou - 4 yakamilika

    Chombo cha kupeleka mizigo katika anga za juu cha China cha Tianzhou - 4 kimerejea angani. Vipande vingi vya chombo hicho viliteketea wakati wa mchakato huo, huku vipande vichache vikianguka kwenye eneo la kusini la bahari ya Pasifiki kama ilivyopangwa.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MSD yaelezea vifaa vya kisasa ilivyonunua ikiwemo vya kupima maini, damu na figo zinavyofanya kazi mwilini

    Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai anafafanua kuhusu utendaji wa Bohari ya Dawa (MSD) kuhusu ilivyojipanga katika kutoa huduma ikiwemo kuongeza wataalam wa afya na kununua vifaa. Amesema MSD imeendelea kufanya Maboresho na mageuzi upande wa huduma za...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumpa rafiki yangu connection ya kazi mahali ninapofanya kazi

    Sitaki unafiki, ntampa rafiki konekshen ya kazi kwa masharti mawil tu: 1. Nikisikia kuna nafasi ndani ya sehemu nayofanya kazi ila haiingiliani na ofisi ama kitengo changu ninatoa koneksheni, mfano mimi nipo ofisi ya ufundi kuna nafasi ya ufagiaji ama udaktari nitasaidia, nafasi hizi...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta Vikosi Kazi vya ukusanyaji mapato TRA

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, Uledi Mussa amesema Vikosi hivyo vimeondolewa ili kuhakikisha kunakuwa na Haki katika ukusanyaji mapato nchini. Amesema TRA inataka watu walipe Kodi bila Shuruti na hivyo Mamlaka hiyo imeagiza Maofisa wake wakusanye kodi bila...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Majaliwa kuficha aibu na Kazi ya Serikali ya lazima ya uokoaji

    Mimi ni mmoja wa walioamini katika story ya Majaliwa Jackson kijana wa kihaya aliyeokoa abiria siku ile ya ajali ya Ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nilipomuona anaongea katika runinga akihojiwa na mtangazaji wa TBC asubuhi baada ya ajali kutokea jana yake nikaamini nilichokiona. Kijana ameucheza...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wakristo kazi mnayo aisee...

    Mkristo ni barua ni lazima asomeke vizuri, aandikwe kwa mwandiko mzuri. Mkristo ni chumvi ya ulimwengu, lazima atie ladha dunia ili dunia iwe mahali pazuri na salama kwa kuishi binadamu, wanyama, samaki, mimea na mazingira kwa ujumla. Mkristo ni chombo cha haki, tetea haki inapodhulumia...
  8. Jelamashele

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali wakomunist wetu wajipambanue tuu. Kuwa hawana Mungu anayeabudiwa na dini

    Hivi wakomunist uchwara wanafahamu Karl Marx hakutaka Mungu. Na alichoanza kupambana nacho ni dini. Ndio maana akasema dini ni KILEVI CHA UBONGO. Ukomunist ni mifumo haitaji Mungu. Kwa hiyo mkomunist hawezi kutuambia kuwa ana dini au anaamini Mungu. Kuna dhana ya kuwa serikali haina dini ila...
  9. cold water

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye pharmacy Mtwara au Ruvuma

    .
  10. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

    1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam. 3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usimpe mtu connection ya kazi ni Bora uiuze kwa gharama

    Kwema Wakuu! Namna Bora ya ku-deal na vijana wa sasa ambao Asilimia 90% ni Vijana wa hovyo ni kuwa na roho ngumu tuu. Kama unahitaji mahusiano mazuri yenye furaha na vijana hawa na hautaki kuumia basi nakushauri kuwa na roho ngumu. Kama sio mtoto wako uliyemzaa basi usimpe connection ya kazi...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akifukuzwa kazi, utamsikia 'Nimeamua kuacha, Nifanye mambo yangu' hasemi kuwa nimetimuliwa

    Ahahahaha, Naanza kwa kucheka maana nimekutana na visa vingi vya namna hii. Kuanzia wale walioondolewa kwa vyeti fake na sababu zingine ilikuwa ukiwapigia simu mtu anakuambia kuwa NIMEAMUA KUACHA NIFANYE MAMBO YANGU. Then siku mbili mbele anakupiga sound umsaidie jambo fulani la kifedha au...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Yeyote aliyeajiriwa na anataka kujiajiri; anza kununua vitendea kazi kwa ajili ya ajira yako mpya

    Kumiliki vitendea kazi muhimu, ni rahisi kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Wengi tunashindwa kufikia hayo malengo, kwa sababu mishahara yetu tunatumia kwenye vitu vinavyokula hela na havizalishi. Utakuta mtu anachukua mkopo mkubwa au anatumia fedha alizopata kwenye ajira kwa kujengea nyumba...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa). Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi, na sekta zingine

    Habari wana JF Mimi Ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Nina elimu ya BSc CIVIL ENGINEERING, ninatafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi au sekta yoyote ile ipatikanayo, nimekua nikifanya kazi Kama saidia fundi(kibarua) katika kampuni mbalimbali huku nikisubiri kupangiwa kufanya SEAP...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Utadhani hakuna kilichotokea wanaendelea kazi kama kawaida

    Mzee Mwinyi ana miaka 96, ameishi juu ya ardhi kwa miongo tisa na miaka sita. Wenye kuishi mpaka kufikia umri huo ni wachache sana. Ni baraka kufikia uzee huo. Pia ni kielelezo cha karama mbalimbali zilizotumiwa kwa nidhamu ya kipekee wakati wa ujana wake. Mojawapo ya karama hiyo ni ule...
  17. Jackal

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 8 aomba kazi apate pesa ya kutimiza malengo yake

    8-year-old boy applies for restaurant job to buy Xbox Nash Johnson applied to be a dishwasher at Drake's in Kentucky, (Credit: Drake's) LEXINGTON, Ky. - At only 8 years old, Nash Johnson knows the value of hard work and its rewards. This is why he had no problem applying for a job as a...
  18. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za miamala

    Habari wakuu, Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za financial transatcions awe mwanamke eneo la kazi ni Dar es Salaam.
  19. Double line

    JamiiForums Tanzania Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa. Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na...
  20. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika. Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi: 1) Addo 2) Pharmaceutical Dispenser 3) Pharmaceutical Assistant Maombi yote yatumwe kwenda: E-mail...
Back
Top Bottom