Natafuta kazi ya Uuguzi na Ukunga

Deby Amos

New Member
Aug 10, 2022
1
2
Habari!!

Natafuta kazi ya kufanya kama muuguzi na mkunga nina diploma level kwenye hospital au dispensary sehemu yoyote kati ya kwanza, Shinyanga au Kahama.

Mwenye connection anisaidie tafadhali
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom