Rais Ruto awasimamisha kazi Makamishna 4 waliopinga matokeo ya Urais

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,371
8,107
Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo na kudai kuwa hawayatambui.

Makamishna hao, Juliana Cherera, Justus Nyang’aya, Irene Masit na Francis Wanderi wakuwa nje ya ofisi wakisubiri uchunguzi wa Tume ya Mahakama iliyoteuliwa na Rais ikiongozwa na Jaji Aggrey Muchelule.
1669971582436.png
===================
Kenya's President William Ruto has suspended four election commissioners who refused to endorse his win in an August election, the presidency said on Friday, and formed a panel to investigate if they should be removed.

The move has opened a new battle front between the government and the opposition in East Africa's biggest economy and comes after the national assembly asked Ruto to form a tribunal against Commissioners Juliana Cherera, Justus Nyang'aya, Irene Masit and Francis Wanderi.

Raila Odinga, the veteran opposition leader who narrowly lost the August election and eventually accepted the result, rejected Ruto's action against the dissenting commissioners.

"They (Ruto's government) have started a scheme to remove the four who stood for justice," Odinga said on Friday and accused Ruto of trying to seize control of the management of the next election at the cost of acting on the promises he made to Kenyans.

"They want to appoint their own members of the commission to carry out their rigging in 2027," Odinga said, vowing to hold public rallies to consult with Kenyans on the next steps.

The first meeting will be held in Nairobi on Dec. 7, followed by a second one on Dec. 12 at the same venue, he said.

Ruto's office did not respond immediately when Reuters sought a comment on the accusation.

Later on Friday one of the commissioners, Justus Nyang'aya, said he had resigned, local media reported.

"I have always endeavoured to act in the best interests of the country, although my actions, taken in good faith, have been misconstrued," Nyang'aya wrote in a letter to Ruto, according to Citizen TV.

Nyang'aya did not immediately respond to a request for comment.

The four commissioners had held a parallel news conference on Aug. 15 to say they could not be party to the results that were being announced live on television by the chairman and two other commissioners.

The dispute proceeded to the Supreme Court, which upheld the election of Ruto and rejected the arguments advanced by the four about the tallying process being opaque.

The court found that a "boardroom rupture" between the commissioners had undermined public confidence, but it was not enough to invalidate the election.

It, however, called for reforms in the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC). The IEBC was not immediately available for a comment on Friday.

Neither the four commissioners, nor the opposition which is backing them, participated in the parliamentary inquiry into their conduct, protesting that it amounted to being tried in a "kangaroo court".

Cherera, who is the vice chair of the IEBC, did not respond immediately when Reuters sought comment. Wanderi and Masit were not immediately available for comment.​
 
Aisee!
Ngoja tusubiri comeback ya Raila manake juzi alisitisha maandamano kwa kuwa watoto wapo kwenye mitihani

Kwa sasa nguvu ya Raila sio kama ya miaka ile na Ruto yuko speed sana kutekeleza ahadi zake hustler fund tayari, mahindi yameshuka bei, mafuta yameshuka bei, miradi ya nyumba kwenye slums inakimbia, bandari imerudi mombassa, miradi ya barabara iko kasi, technical colleges zinaota kama uyoga, biashara kimataifa inapaa, uwekezaji sasa kenya kama kawaida na wakenya wakimtumia Rutto hawatokamatika milele ukanda huu.
 
Hamtaweza. Otherwise utapasua Kenya katikati.

Nguvu ya Raila kwa sasa haipo, pwani wamepewa amason kingi kama speaker wa seneti, aisha jumwa ni waziri, na wana waziri mwingine hivi hivo ukanda huo kisiasa Raila asahau maana wanatembea pamoja, walihya ambao ndio wengi umeona tayari wana speaker bunge la kitaifa, wana chief minister na jana wametoka kufanya reconciliation makusudi ili Atwoli aanze kuunga mkono Ruto kimkakati na wamemaliza, mount kenya kingpin Riggy G anasikilizwa, central wakalee wako na Ruto, wakamba ndio hao akina alfred mutua, yaani karata za kisiasa kwa Ruto kenya sijawahi kuona Baba kabaki na wajaluo na wamasai kidogo lakini nao wamegawanyika kwa sasa atapitia wapi labda.
 
Kwa sasa nguvu ya Raila sio kama ya miaka ile na Ruto yuko speed sana kutekeleza ahadi zake hustler fund tayari, mahindi yameshuka bei, mafuta yameshuka bei, miradi ya nyumba kwenye slums inakimbia, bandari imerudi mombassa, miradi ya barabara iko kasi, technical colleges zinaota kama uyoga, biashara kimataifa inapaa, uwekezaji sasa kenya kama kawaida na wakenya wakimtumia Rutto hawatokamatika milele ukanda huu.
Haya yote ndani ya muda gani ndugu?:D
 
Nguvu ya Raila kwa sasa haipo, pwani wamepewa amason kingi kama speaker wa seneti, aisha jumwa ni waziri, na wana waziri mwingine hivi hivo ukanda huo kisiasa Raila asahau maana wanatembea pamoja, walihya ambao ndio wengi umeona tayari wana speaker bunge la kitaifa, wana chief minister na jana wametoka kufanya reconciliation makusudi ili Atwoli aanze kuunga mkono Ruto kimkakati na wamemaliza, mount kenya kingpin Riggy G anasikilizwa, central wakalee wako na Ruto, wakamba ndio hao akina alfred mutua, yaani karata za kisiasa kwa Ruto kenya sijawahi kuona Baba kabaki na wajaluo na wamasai kidogo lakini nao wamegawanyika kwa sasa atapitia wapi labda.
Asante sana Julius Nyerere kwa kutuepusha na tribalism Tanganyika!
 
Nguvu ya Raila kwa sasa haipo, pwani wamepewa amason kingi kama speaker wa seneti, aisha jumwa ni waziri, na wana waziri mwingine hivi hivo ukanda huo kisiasa Raila asahau maana wanatembea pamoja, walihya ambao ndio wengi umeona tayari wana speaker bunge la kitaifa, wana chief minister na jana wametoka kufanya reconciliation makusudi ili Atwoli aanze kuunga mkono Ruto kimkakati na wamemaliza, mount kenya kingpin Riggy G anasikilizwa, central wakalee wako na Ruto, wakamba ndio hao akina alfred mutua, yaani karata za kisiasa kwa Ruto kenya sijawahi kuona Baba kabaki na wajaluo na wamasai kidogo lakini nao wamegawanyika kwa sasa atapitia wapi labda.
Nguvu ya Raila ipo kwa ground/majority sio viongozi.
 
Hivi katiba mpya inasaidia nini? Hivi uhuru wa tume ya uchaguzi uko wapi?
 
Wajumbe hao wa tume, Kwa kukiuka kabisa kanuni na sheria na viapo vyao, ....wao waziwazi waliamua kuyakataa matokeo yanayowafikia.

Yaan Wewe ni mtume, alafu unakataa matokeo unayoyapokea.

Hao ni wajinga tu, waloshindwa kutofautisha mahaba na kazi.
 
Si huwa mnasema Kenya Kuna Katiba mpya na Rais hawezi ingilia tume ya uchaguzi Sasa imekuaje?
Bado tunahitaji Katiba Mpya, hata kama ya Kenya ina mapungufu haina maana na ya kwetu itakuwa na mapungufu kam hayo, muhimu tujifunze kutokana na makosa waliyofanya wakenya ili Katiba Mpya yetu ije kuwa bora zaidi, hatuwezi kurudia makosa waliyofanya wakenya kama unavyodhani, huo ujinga kwetu hauna nafasi.
 
Back
Top Bottom