kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama kuua wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 ni kazi ya kutukuka, Tume mlizounda ni za nini?

    Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia! Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu. Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno. Yaani kabisa...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kazi na Utu: Tunasonga Mbele

    #KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #maendeleoendelevu #diplomasiayakiuchumi
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Juu ya Ahadi za Kazi Zenye Mishahara Minono Nje ya Nchi (Mtego wa Cambodia na Myanmar)

    1. Utangulizi i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii. Walengwa Wakuu: Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na wanaozungumza Kiingereza vizuri. Maeneo Hatari: Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (Cambodia, Myanmar...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu nae amekazia. Pgo ya polisi ina kifungu kinachoruhu kuua . Na walifanya kazi iliyotukuka

    Polisi wamepongezwa tena na CCM👇
  5. robbinhood

    JamiiForums Tanzania Bado mnatumia Excel kufuatilia mali (Asset) za kampuni?

    kampuni nyingi bado kufuatilia laptop, printer, furniture au vifaa vya kazi kwa makaratasi au Excel. Changamoto inaanza vifaa vinapopotea au kukosekana kwa taarifa nani anatumia kifaa gani. Asset Management System inasaidia, 1. Kufuatilia vifaa vyote kwa urahisi 2. Kujua nani amepewa kifaa...
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

    Ku-survive kama kijana Dar bila ya kumezwa na ufuska uliopo karibu yako kama pua na mdomo inatakiwa iwe sehemu ya SKILL maalum katika resume'. Adventure kwa mzungu ni kutembea kuona vitu na kujaribu vyakula na weather mpya ila adventure kwa mtu mweusi ili kuzifanikisha sexual fantasies zake kwa...
  7. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kufukuzwa kazi

    Kama kuna watu wameshawahi kupitia kipindi cha kufukuzwa kazi , hivi maisha mliyasongesha kwa Namna gani baada ya kufukuzwa? Life kitaa siyo poa mliwezaje kutoboa kwenye msimu huo hadi mlipopata kazi nyingine au kuendelea na mishemishe kitaa?
  8. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi chanzo ni marafiki

    Habari za usiku wakuu wa kazi, Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia. Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa . Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Dereva Arusha: Unafanya kazi ya Kanisa mshahara ni Haleluya

    Wakazi wa Jiji la Arusha wamejikuta wakipata adha kubwa ya usafiri baada ya baadhi ya madereva wa daladala kugoma kuingiza magari yao barabarani wakipinga kile walichodai kuwa ni manyanyaso kutoka Land Transport Regulatory Authority (LATRA). Mgomo huo ulioshuhudiwa leo Jumatatu Mei 25, 2026...
  11. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2024 Land Cruiser Prado J250 “Chuma ya Kazi” iko sokoni

    AVAILABLE NOW‼️AVAILABLE NOW‼️ Bei/Price🏷️👉🏾TSH 288M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA LAND CRUISER PRADO J250 Year: 2024 Engine: 1GD-FTV Mileage: 16,290Km Fuel Used⛽️: DIESEL Transmission: AUTOMATIC ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost ✨Parking Sensors ✨Blind Spot...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Tuliosoma Course ya Mortuary Attendant hatupewi kazi, wanapewa ambao hawajasomea

    Mimi ni Mkazi wa Mwanza, nimesoma Course ya Mortuary Attendant. Course yetu huwa hutolewa kwa Certificate, hadi sasa tumefika wafanyakazi 200 wa fani hiyo lakini cha kushangaza Serikali imejenga majengo ya mortuary Lakini imesahau kuajiri watumishi wake, naomba mtusaidie na sisi tuweze kupata...
  13. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa singo mama

    Anahitajika Single Mama Madam wa chekechea awe na mtoto wake umri mwaka 1 au 2 au 3 Atakabidhiwa kusimamia shule na kupewa sehemu ya kukaa yeye na Mtoto wake Atalipwa salary kwa makubaliano na Boss Kipindi hichi cha likizo atapewa huduma za Tuition bure hela zake Shule zikifunguliwa ataanza...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kazi aliyotumwa Msigwa kwenda kuifanya CCM ameifanikisha?

    Kama unadhani Msigwa alihamia CCM kwa sababu aliichukia CHADEMA, basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana. Swali ni kama kazi ambayo alitumwa akaifanye CCM ameifanikisha au imeshindikana. Nahisi kama kuna watu CCM walimshitukia.
  15. Jang hyuk

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi Niko mwanza mkoleni.

    Wakuu naombeni kazi yoyote hata saidia fundi. Au kama Kuna mtu anajua kazi za day zinapopatikana naomba anielekeze. Namba yangu ni 0790601629. Asante.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, napatikana Kahama

    WanaJF habari za majukumu wadau naomba Kwa yoyote atakayeguswa anisaidie mchongo wa nafasi ya kazi yoyote Hali. Nipo Kahama Shinyanga 0664984110
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kazi ya udaktari ni ngumu sana, hawa watu tuwatie moyo sana.

    Katika watu ambao inabidi walindwe kwa gharama zozote basi ni madaktari. Asilimia kubwa ya madaktari wanafanya kazi kwa uwito na sio maslahi zaidi . Ukitaka kuamini hivyo utakuta daktari ana miradi yake mikubwa tu na asilimia kubwa inahitaji uwepo wake lakini yeye yupo busy hospitali kutibu...
  18. neggirl

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi - Binti wa Kuuza Hardware

    Nafasi ya kazi Hardware, tuma maombi yako kupitia whatsap. Deadline 30/9/2026
  19. N

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kubadilishana vituo vya kazi

    Wakuu uzi huu ni kwa wale ambao wanatamani kubadilisha kituo cha kazi.hivyo kama unataka kwenda dodoma au mkoa mwingine na upo mkoa mwingine labda iringa na kuna mtu yuko dodoma anataka kwenda iringa basi uzi huu utawakutanisha. Mfano utasema. Mimi ni technician mkoa wa dodoma natafuta mtu wa...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
Back
Top Bottom