A M K TZ
Member
- Jul 14, 2023
- 9
- 6
Habari za mida wakuu..
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi..
Napata mshahara wa wastani tu ila nilitamani niwe na biashara yangu ya pembeni ambayo itanisaidia kuongeza kipato.
Ila changamoto ni muda, huwa naingia job asubuhi natoka saa 12 jioni na sina hata offdays ..
Hivi ni biashara gani naweza kuanzisha kwa mtu wa aina yangu 🙂