kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tuombe kazi kupata inawezekana ata kama competition ni kubwa hasa kupitia ajira portal

    Kwa Msaada wa ajira portal na mifumo mingine.* Kama umesahau password, umesahau email,nk natoa msaada binafsi tuwasiliane kwa 0792715343
  2. Eswa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia Airbnb, Lodge, Camp Lodge na Hotel.

    Habari za Jumapili.? Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia. Nipo Zanzibar lakini ninaweza kuhama na kurudi Bara kama nitapata kazi huko. Kwa sasa nilipokuwa...
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ualimu

    Job Advertisement A Secondary School located in Dar es Salaam is URGENTLY looking for qualified teachers in the following areas: 1. Chemistry and Biology 2. ICS/Physics/Mathematics 3. English and Chinese Qualified persons to submit their application letter and CV to 0717 905 715...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya saidia fundi

    Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume. Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    Location Zanzibar, Pemba
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

    Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina...
  7. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wakuu Nina shida ya buku

  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania FT: Bayern München 0 - 1 PSG | UEFA Semi Final 2nd Leg | Allianz Arena | 6 Mei 2026

    Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania EWURA hawazalishi chochote ila kazi yao kupanga bei ya mafuta. Ifutwe kama tulivyofuta SSRA

    NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja. Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei. Serikali iiangalie namna ya kupunguza tozo hizi hata kwa 50%. Nchi kadhaa za Afrika kama Namibia...
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Unapojenga kazi kubwa nunua mchanga kwa gari kubwa sio canter kuepuka hasara

    Nitaeleza leo umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA 1. Unaokoa pesa nyingi FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mungu alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika! Ina maana alichoka si ndio?

    Kusema akapumzika maana yake kazi ilikuwa ngumu sana ikamchosha hivyo ikamlazimu apumzike tena maandiko yanasema akastarehe kwa sasa tunaweza kusema akala Bata (BATA BATANI) Mwanzo2:1-3. Au Ninyi huwa mnaelewaje wajuvi wa maandiko? Ninachojifunza kupumzisha mwili na akili ni jambo la msingi...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitajie ma superstars wawili wanaopewa sifa ila kazi zao huzielewi kabisa

    1.Taylor swift- huyu anasikilizwa sana duniani na ni mmoja mwenye ma followers wengi ila hakuna hata kazi yake moja naijua wala kuisikiliza 2-Migos-hata sielewi nyimbo wanazoimba trap gani imepooza hivyo si bora african trap.sina kazi yao ninayoipenda hata moja
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi

    📢 PAID INTERNSHIP — 5 POSITIONS Makomu Impo & Expo – Dar es Salaam We’re hiring Accountant Interns with Marketing Skills. Requirements: • Accounting / Marketing student or graduate • Strong Excel & computer skills • Report‑writing ability • Basic bookkeeping & reconciliation • Able...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wasabato mnaofanya kazi siku ya sabato ni kwamba Amri ya 4 hamuijui au mwafanya makusudi?

    Kutoka 20:8-11 Ina waamru wasabato wote kutokufanya kazi yoyote Ile yeye wala mke wake,watoto wala wafanyakazi wake zamani wakiitwa watumwa. Ikaenda mbali ikasema hata punda wa msabato imeandikwa asifanye kazi yoyote kwa mujibu wa amri hiyo. Ajabu ni kwamba wasabato wanatuhubiria sana kuwa...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira

    Tuseme tu ukweli hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira, isipokuwa kuna tatizo la kukosekana kwa kazi rahisi , au kazi zenye hadhi tunayotaka ,, kiukweli kazi za kupima matokeo nikazi ngumu kuliko zote wengi tunapenda ile kazi ambayo hata usipofanya hakuna anayeweza kuipima moja kwa moja...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Kazi

    Wadau naombeni connection ya kazi, kazi yoyte nitaifanya kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar. Simu: 0757148294
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi, Uadilifu na Ustawi wa Taifa

    MEI MOSI 2026📌 💡Rais amesema: “Ni wajibu wetu sote kushirikiana, kuaminiana na kutanguliza maslahi ya Taifa. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi ili kujenga uchumi imara na ustawi wa jamii yetu.” Serikali ipo na inawasikiliza wafanyakazi. 💡Kwa kuwawezesha vijana, Rais Dkt...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari, jaman natafuta kaz hata ya uwakala, au dukani, nimechoka mimi.. naishi Sinza, Dar es salaam
  19. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO MWANZA: Vijana wanafanya kazi ghorofani bila kuwa na vifaa maalum, OSHA mpo au hii haiwahusu?

    Nipo Mwanza nimekuja kutembea kutoka Jiji lenye miti mingi, nimefika Wilaya ya Ilemela, Kata ya Nyamanoro, jana tarehe 28.04.2026 nilikuta vijana wanne walionekana kwenye eneo la ujenzi wakiwa wananing'inia huku wakipandisha vifaa vya ujenzi kwenye jengo hilo ambalo inadaiwa kuwa linatarajia...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna kazi au Majukumu mwanamke au Mwanaume akiziweza kuoa inakuwa kipengele

    KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo. 2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
Back
Top Bottom