kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Analogia Malenga

    Maafisa biashara, maendeleo ya jamii na maendeleo ya vijana wana kazi gani?

    Hawa watumishi ni muhimu sana, lakini tunajua kazi zao, maana bado maendeleo ni kizungumkuti, vijana wanahama miji yao kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine. Japo sio vibaya wao kuhama, lakini maafisa hawa si ndio inabidi wafikirie namna ya kuongeza fursa ili vijana wabaki kwenye maeneo yao. Je...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    TAKUKURU fanyeni kazi zenu, mimi hizi messages hazinihusu, kila siku natimiza wajibu wangu kama mzalendo wa nchi yangu

    Kila siku tunawaletea taarifa, juzi tu nimewaletea taaarifa hapo ofisini. Fanyeni kazi zenu
  3. Evelyn Salt

    Hivi huwa yana kazi gani?

    Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation??? Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie...
  4. I

    Laptop Gani Inafaa Kazi Yako Hasa — Na Kwanini Watu Wengi Huchagua Vibaya?

    Laptop Gani Inafaa Kazi Yangu ? Kwa Nini Swali Hili ni Muhimu? Kila mnunuzi wa laptop anapofika sokoni au anapotafuta mtandaoni hukutana na swali moja kuu 👉 “Laptop hii itaendesha software zangu kweli? Itakubali printer na projector zangu? Itakuwa na speed Kwenye kazi zangu?” Na hapa ndipo hofu...
  5. Think2

    Makocha hao hapo sasa simba kazi kwenu

    Mnaotafuta Kocha kuna huyo Romuald Rakotondrabe pale Madagascar ✍️👊 Mwalimu sana huyu! Nabi Nessredine pia hana kazi kwa sasa✅ Jose Riveiro naye hakijaeleweka saaana ✅ Miloud Hamdi atafukuzwa pale Ismailia muda wowote wiki hii ✅ Wengine mnaoweza kuwatafuta: Miguel Gamondi - Singida Huwa...
  6. ndege JOHN

    Naomba kujuzwa kazi ya hili gari la polisi lenye kama radar hapa Morocco

    Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani naomba mwenye uelewa
  7. haszu

    Nilipata kazi sababu ya uzuri

    Pamoja na kua na vigezo, ila muonekano wangu ulifanya mkuu wa panel awe mpole sana na kuonesha kuvutiwa na mimi, nilipata kazi kirahisi sana. Baada ya kuingia kazini, nikawa namkwesikutaka ku date eneo la kazi. Kuna vitu haviwezi ongelewa ila vina athar sana mupnekano ikiwepo, people do judge...
  8. C

    Kumbe Israel na Marekani walifanya kazi safi

    Niaje niaje..........katika hali ya kushangaza kumbe jamaa walihiti target vizuri tu bila papara ..............maneno yalikuwa meeengi kumbe kitu kimewaramba
  9. JanguKamaJangu

    GE2025 Wasira: Dkt. Samia anachaguliwa kutokana na uwezo wa kazi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan awanie kiti hicho siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio katika kipindi cha miaka minne na nusu. Amesema...
  10. ngara23

    Hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Simba na coach Fadlu

    Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga, Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga Gamondi kamfunga Ramovic kamfunga Milouf Hamdi kamfunga Roman Folz kamfunga Tuliaminishwa 1. Usajili huu kuafanya...
  11. K

    DOKEZO NACTVET katibu mtendaji hafanyi kazi, watumishi pia hawafanyi kazi kazi kupiga stori na kuombana rushwa Waziri mwenye dhamana shughulikia hili

    Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake. Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi. Kazi...
  12. H

    Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  13. Isaka James

    Sekta ya Teknolojia Tanzania: Tech Zinazodominate na Fursa za Kazi kwa Job Seekers

    Habari wadau wa Jamiiforum! Mimi ni tech enthusiast hapa Dar, na leo nataka kushare thoughts zangu kuhusu technologies zinazotawala Tanzania na how they can help you kufind job au improve in your current one. Kama unajua, global tech na local one ni different sana, especially in developing...
  14. Analogia Malenga

    Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1757859650-PAPU_Vacancies_1032107643381814476641029946369102376331757853088906.pdf Angalia kiunga hapo juu kuhusu hizi nafazi za Pan African Postal Union (PAPU) zinaonekana kabisa ni mpunga mrefu maana ni P3 na P4, maombi inabidi yapitie TCRA, hata...
  15. R

    Atangaza kuacha kazi ya Uganga haina faida

    Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu Akizungumza...
  16. P

    Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  17. Isenye

    List ya kazi ambazo ukifanya yakupasa uwe na roho ngumu

    1.Debt collector 2.Sales officer 3.Loan officer 4.Daktari 5.Nurse 6.Dereva 7.Polisi 8.Mgambo 9.Mtendaji wa mtaa 10.Mjumbe wa nyumba 10. 11.Mama lishe 12.Muuza genge 13.Mganga wa jadi 14.Mchungaji 15.chinga 16.Mangi shop 17. 18. 19. 20.
  18. Stability

    Unaweza sema mwamba anasikitikia kazi ilivyo ngumu lakini anawaza ni style gani atayomkunja bebi akishapata posho jioni

    🤣
  19. H

    Kazi unaitengeneza mwenyewe. Usisubiri kuajiriwa

    Kazi unaitengeneza mwenyewe. Kwani mafundi nyumba,viatu,matingo,wetpauza machungwa,wafyatua mayofari,wauza karanga,nk kawatafutia nani hizo kazi? Mtaji wa masikini ni nguvu zako mwenyewe anza kidogokidogo utasimama,buni kazi upate kazi ya kufanya
  20. stakehigh

    Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

    Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali, "Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena" nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
Back
Top Bottom