Kazi unaitengeneza mwenyewe.
Kwani mafundi nyumba,viatu,matingo,wetpauza machungwa,wafyatua mayofari,wauza karanga,nk kawatafutia nani hizo kazi?
Mtaji wa masikini ni nguvu zako mwenyewe anza kidogokidogo utasimama,buni kazi upate kazi ya kufanya
Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali,
"Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena"
nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
Habari wanajamii.
Natumaini wote wazima.
Hivi zile kazi za afisa ugavi 340 za mwaka jana agosti naomba kuulizia hivi nafasi zote zimeshapangiwa kwa waliofaulu??
Sasa akatoa haya maafuta sijui lotion akayaweka chini ya mto.
Mimi sijui yana kazi gani.nimehisi labda ni limbwata anataka kuniwekea
Kwa anaejua ni nini hiki na yana kazi gani anisaidie.
By Jacob Maganga
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda...
Kwema Wakuu,
Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo?
Na kama App yenyewe itakua watu wanaingia free, Mimi nitalipwa na nani kwa uingiaji wao huo ukiacha matangazo ya...
HIVI UNAWEZA KUMRUHUSU MKEO AKAFANYE KAZI BAR? TENA ANALALA HUKOHUKO WIKI NZIMA, IKIWA TU WEWE MME UMEFULIA KIFEDHA NA MNA MTOTO MDOGO.
TOA MAONI YAKO.
Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina.
Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma,
Kwa kumbukumbu zangu...
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho.
Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia.
Tuliobaki ambao ni...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza ukali wa maisha.
"Ni kweli kuna Watu wamekua wakiwafata Madaktari wa figo wakiwaambia sisi tunataka...
TANGAZO LA AJIRA
Kampuni: The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH
Mahali: Mwanza, Tanzania
Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) inakaribisha maombi ya ajira kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi zifuatazo:
Nafasi Zilizopo
Afisa Uhasibu –...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.