Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi.
Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift.
Napatikana kwa number 0765607650 au email: jaelynebless@gmail.com
Waziri wa Katiba na Sheria, DR. Damas Ndumbaro ameshiriki katika uzinduzi wa Kitabu cha COMPREHENSIVE ISSUES OF EMPLOYMENT AND LABOUR RELATION AND LABOUR LAW; Practice for Modern Business in Tanzania.
Kitabu hicho kinahusu masuala ya ajira na masuala ya uhusiano kazini kikiwa na kurasa zaidi ya...
Habari za muda huu Mpwa!
Ni siku nyingine tena tunakutana katika kuangalia yale mambo kadha wa kadha ambayo yanagusa maisha yetu.
Mpwa, leo nimekuja na jambo moja tu ambalo ndio limekuwa muhimili wa sasa katika maisha ya leo yaani 'Connection'.
Ni neno la kawaida sana ukilisoma na kulitamka...
Nafasi ya kazi Konfa Enterprises limited 1. Online sales supervisor 2. Office respetionist 3. Shop manager 4. Assistant Shop Manager, Human Resources Manager etc
=========
KONFA ENTERPRISES LIMITED General Trading Company established in 2006, Konfa has vast network of professionals...
Frank Lampard, aliyekuwa kocha wa Everton ametimuliwa baada ya kupata matokeo mabovu kwa kipindi kirefu katika ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya Everton inategemea kutoa taarifa rasmi hivi punde.
Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndio maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo.
Hata kwenye Kampeni 2025 tutaiponda tutakuwa tunashindana na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo haipo kuliko ya Awamu ya 6 ambayo ipo. Sababu ya Awamu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakika Rais Samia Haepukiki Wala Hazuiliiki katika mioyo ya watanzania,Huwezi ukafanikiwa kulitawala jukwaa la kisiasa na kupata wasikilizaji ikiwa utajifanya kumshambulia na kutokutambua juhudi za mh Rais wetu mpendwa mama Samia, kwa kuwa Ni Rais Samia ndiye...
Ndugu wanafamilia wa Jamii forums, nawasilimu kwa jina la Jamhuri,
Maji yamenifika shingon mwenzenu, mim ni mhitimu shahada ya ualimu tangu 2016 , nimejaribu kupambana niwezavyo kutafuta ajira bila mafanikio.
Baada ya kuona ajira zinakuwa ngumu, nikatafuta kazi kwenye kampuni ya ulinzi...
Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa.
Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo nikajiunga na advance kwa tahasusi ya pcb hapo sikufanya vizuri kwani nilipata division three point 14...
Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)
Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala.
Kinachonishangaza ni vile wako...
Kazi: Msimamizi wa Ofisi
Mahali: Moshi - Kilimanjaro
Majukumu
Kusimamia shughuli za ofisi
Kutunza hesabu za ofisi
Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali
Sifa
Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B'
Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au...
Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya uchumi mtaji wangu umekata.
Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mnisaidie nipate kazi ili niweze...
Mtoto wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Luteni Ian Kagame amejiunga na kikosi cha ulinzi wa Rais kilicho chini ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF).
Kikosi cha ulinzi cha Rais wa Rwanda kinawajibika kumlinda Rais pamoja na familia yake.
Ian alionekana hadharani kwa mara ya kwanza akitimiza majukumu...
Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali.
Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara na threads nyingi zimekuwa zikimtakia au kumuombea mabaya Waziri wetu Mkuu mchapa kazi hodari mzalendo wa kweli asiyependa uzembe utokee popote, amekuwa akipigwa Vita na vya kimtandao wa kumuombea mabaya yamfike.
Nadhani pengine hili linatokea baada ya...
Niseme tu, hakuna marefu yasiyo na ncha.
Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kum demolish Kimaro tangu akiwa Usharika wa Kariakoo.
Kwa miaka mingi tumefanya mbinu na njama mbalimbali kumuondoa lakini hazikuwq na matokeo tuliyo yatarajia. Hivyo tukajaribu mbinu nyingine na nyingine tena...
Picha: Mchungaji Eliona Kimaro
Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo.
Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.