Natafuta kazi au kibarua chochote halali

Charlesnbundalah

New Member
Sep 15, 2022
3
1
Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya uchumi mtaji wangu umekata.

Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mnisaidie nipate kazi ili niweze kujikwamua na niweze kuboost mtaji wangu tena.

Kwa atakayeguswa anicheki no 0743350335
 
Unafanyaje kazi huku Unawaza kuboost mtaji wako inamaanisha kwangu hutodumu na hutofanya kazi kwa moyo
 
Unafanyaje kazi huku Unawaza kuboost mtaji wako inamaanisha kwangu hutodumu na hutofanya kazi kwa moyo
Naweza kufanya kazi kwako vizuri tu coz mimi hata nikipata mtaji wangu haitaathiri kazi yangu coz ninao watu wanaoweza kusimamia bila ya kuwepo mimi
Kikubwa hapa ni nyenzo ndo inahitajika boss
 
Jamaa yangu mmoj baada.ya kumaliza chuo digrii hapo udsm no boom ,no family support alipitia kweny msong wa mawazo Sana bada ya kuona virungu vinazid nikamshauri mtaji wa masikin ni nguvu zake mwenyewee nikamwambia ajaribu kuzunguk kweny car wash ...si haba alipata now days anafunga 20k to 30 kwa kuosha magari alipt location nzuri kaajiriwa ...bro you never know
 
Kama unaishi Dar maeneo ya segerea au TABATA and na uko na shinda ya KAZ na wew niwa jinsia ya KE nitafute inbox
Salary 25000-40000 per week baada ya mafunzo
No food ,no transport
Ukiwa na ideas ya ususi ni vizur zaid
Unaweza Fanya kazi ukiwa hata nyumbani kwako after training
KAZI ni yakusimama so Kama afya Yako niyakuunga unga Tulia nyumbani

Wanaohitajika ni wasichana wawili tu
 
nina mdogo wangu kasomea hiyo fani arusha pale, yeye anaweza suka dred, nywele za kawaida, kupamba maharusi, matatoo na vingine vinginitafute kwa nambari 0748106950 nikuunganishe nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom