Natafuta kazi, mimi ni mwalimu pia nina uzoefu wa Ulinzi na Udereva

HaruniHuberth

New Member
Aug 23, 2022
2
1
Ndugu wanafamilia wa Jamii forums, nawasilimu kwa jina la Jamhuri,

Maji yamenifika shingon mwenzenu, mim ni mhitimu shahada ya ualimu tangu 2016 , nimejaribu kupambana niwezavyo kutafuta ajira bila mafanikio.

Baada ya kuona ajira zinakuwa ngumu, nikatafuta kazi kwenye kampuni ya ulinzi nikafanikiwa kupata, japo huwa ni kazi za muda, sasa baadae Mkataba ulishamalizika

Mbali na ulinzi pia mimi ni dereva mzuri wa wa magari ya aina yote isipokuwa Mabasi makubwa na magari ya mizigo kama sem

Baada ya kazi ya ulinzi kuisha nilitafuta kazi nikapata kazi ya udereva gari ndogo za kubeba abiria sasa mwaka jana mwez wa 7 gari zote ndogo zilizuiwa kufanya kaz ya kusafirisha abiria, tayari nikawa Nimekosa kazi tena

Sasahivi natafuta kazi yoyote ambayo inaweza kunisaidia kukidhi Nahitaji yangu, uzoefu, NIMEFANYIA KAZI MGODIN YA ULINZI MIAKA 2, pia nilikuwa na permit ya kuendesha gari,

Nina iman humu ndan Mpo wengi wa kunishika mkono, namba angu ya simu 0758968314
 
Duih ahsante sana kwa kuwa na moyo huo wa kutaman mimi Kijana mwenzako nipate kazi, Nimesoma GEOGRAPHY NA HISTORY
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom