kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma computer science pia nina uzoefu wa ualimu

    Habari ndugu zangu!! Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana. Elimu: Degree ya Computer Science UWEZO 1. Programing (C++, Python, Visual basic) 2. Computer Mantainance and troubleshooting 3. Photocopy Mantainance and troubleshooting 4. Printer Mantainance and...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi tendeeni watoto wa wenzenu kama wa kwenu hata kama leo huna mtoto

    Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Walaghai na matapeli wote ambao mmeigeuza wizara ya ardhi dar kama chaka lenu achaneni na kazi hizo ni lockup tu.

    Nipende kumpongeza kamishna mpya ambaye amekuja kwa ajili ya mkoa wa dar na pwani, MR. LEO, dhamira yako njema ya kubadilisha taswira iliyokuwepo na kujenga mtazamo mpya inaonekana waziwazi, hongera kwa mfumo wako mpya ambao umeuweka hakika wengi wataumbuka, pia nafurahi ya kuwa umetambua vizee...
  4. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania SBS nao wamekuja na Eneryg drinks zao kabambe. Walevi wa Energy kazi mnayo

    Energy kwenye chupa ya soda safi kabisa, inaitwa SUPA KOMANDO, 300Mls bei sh 5,00 /= halafu ni tamu ajabu. Wanywa energy poleni kwa huo moto mnao pelekewa.
  5. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  6. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

    Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo. Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kudhibiti ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sio kudili na picha za ngono ambazo VPN inapiga kazi

    Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje? Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess? Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi. 👇
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi migodini pdf

    nafasi za kazi pdf nmewatumieni
  9. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

    Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, au ikiwa ni mwanamke...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Kilimo ndiyo kazi pekee Mungu alituagiza tufanye ili tuishi

    Kilimo ni agizo la mwenyezi Mungu hakika nawambia kilimo ndiyo njia pekee ya kujipatia chakula hatupaswi kukikimbia Asiyejua kupanda atakula kwa tabu sana na zikizidi atakimbia. Kama hulimi ujue unamkaidi Mungu kweli nawambia
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwatukana Wabunge na kutaka kumsingizia mbunge mwenzake uongo: Nchemba si amrahisishie tu mama kazi?

    Kwa namna suala Zima la Nchemba linavyozidi kwenda Deep na kwa namna Nchemba alivyotaka kuurubuni uongozi wa Bunge ili umwadhibu Mbunge aliyerejea kashfa yake kwa wabunge.Na kwa jinsi Spika alivyomkataa kiaina ingawa kiustaarabu sana. Na kwa Historia ya mahusiano ya Mwigulu na Jamii ya...
  12. Mkanaani

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya kazi yoyote anayoweza kufanya mdada Mwanza

    ...
  13. Mzeru_

    JamiiForums Tanzania Azam wanatumia njia gani kuajiri wafanyakazi?

    Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie kama kuna nafasi. Swali: 1. Je, unapeleka cv ofisi zao? Na kama unapeleka je ofisi zao ziko wapi? 2...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

    Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross. Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ni taifa huru

    Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni. Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
  16. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI

    NAFASI YA KAZI Habari, mtu yoyote ambaye amesomea au anajua masuala ya kudispense madawa (Duka la Dawa) aje inbox ASAP. Duka lipo Ubungo Kibangu. Conditions 1. Awe wa kike na Awepo Dar es salaam ( preferably Ubungo) 2. Salary - 120,000/= kwa mwezi. 3. Conditions nyengine zitakuwa discussed...
  17. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mafundi Magari wa Kibongo hufanikiwa kujiinua kwa Promo halafu ukiwapatia kazi wanajiua kwenye kazi ya kwanza tu

    Mafundi garage wa kitanzania wana mchango mkubwa sana katika kuyatia ubovu magari ya watu. Mafundi hawa ni wazuri sana kwenye kujipigia promo na kuwaharibia waliofanya uwekezaji mkubwa. Utakuta fundi anawachambua yale magereji makubwa yakiwemo ya wachina na wakorea kwamba wale hamna kitu...
  18. Ngarumbe

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Watanzania wenzangu

    Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea. Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine. Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa utaratibu wa kupata kwenye yale maduka au kama kuna mtu anakazi naomba ntaifanya kwamoyo wangu wote. Nipo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ nina uhitaji wa kazi

    Habari za wakati huu Wana JF, naitwa bless nina miaka 24, elimu yangu kidato Cha 6. Natafuta kazi viwandani, supermarket au kampuni binafsi nina uzoefu na u- cashier yeyote ataeweza nisaidia nitamshukuru,, nipo DSM.
  20. H

    JamiiForums Tanzania I'm seeking for an employment opportunity on any field

    Greetings, My name is Harrison Munuo, a 28 years old . A holder of a bachelor degree in Education(IT& Geography). I'm seeking for an employment opportunity on any field that my particulars fit. I am energetic and open to learn new skills. I am willing to work in remotely environment and minimal...
Back
Top Bottom