kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kama ni mwanafunzi wa lugha(Kiswahili) UD na upo chuoni ni PM unisaidie kazi fulani hapo chuoni.

    Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi sita wafukuzwa kazi Arusha

    JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
  3. dongbei

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi Mahale Mountains National Park, naomba msaada

    Habari za Leo wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni hivi, mimi ni mdau wa tafiti za viumbe waishio porini na mambo yote yanayoendana na mambo hayo. Kuna jambo la msingi sana ningependa kufafahamu kutoka eneo Hilo la hifadhi ya wanyamapori. Nimepitia mtandaoni sijapata...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa Simba ni mganga wao, aliwaaminisha ameshamaliza kazi muongo mkubwa sana huyo sangoma! Nitamtaja!!!

    Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga mechi hayo mambo niyakipuuzi sana na hamtafanikiwa kamwe!! Aliwaaminisha wachezaji ameshamaliza kazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi katika duka, kiwanda au supermarket

    Ndugu zangu habarini, Mimi naitwa Caroline ni mwanachama wa mda mrefu wa JF natafta kaz yoyote halali, katika Duka, kiwandani, supermarket n.k Elimu yangu nina degree ya human resource naombeni ndugu zangu mnisaidie ambae ana connection ya kazi anibebe.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

    Wakuu kwema! Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno. Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi wakuu

    Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi. Pia hatakama una kazi yako unaweza nisaidia kwa kunifundisha pia, yaani mpaka sasa sina fani yoyote. Nina hali ngumu balaa. Mie...
  8. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wote tumeshamaliza Kazi Kesho Mwarabu atatafuta wapi akimbilie

    Kwa tulichokifanya Mwenyezi Mungu tunakuomba utusamehe kwani hakuna namna tunahitaji Ushindi Kesho.
  10. Jet fighter18

    JamiiForums Tanzania Mimi Mwalimu wa Chemistry, natafuta kazi

    Mimi ni Mwl wa Chemistry na biology O level natafuta kazi. Nina uzoefu wa miaka 15 kazini. Nipo Dar es Salaam. Contact: 0764 727890
  11. VMWare-Oracle

    JamiiForums Tanzania Kujitolea kufanya kazi katika kampuni mbalimbali za umeme, Dar es Salaam

    Habari wakuu. Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering. Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops. Sehemu iwe yoyote...
  12. Msokwa1

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yeyote, niko Bagamoyo - Pwani

    Ni kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na shughuli za kisteshionali. Nina nguvu ya kufanya kazi yeyote kwa maelekezo kiasi. kwa yeyote aliepo...
  13. kwenda21

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunafanya kazi ngumu sana ikiwa tunafanya kazi ili tuishi?

    Hivi jamani kama tunafanya kazi ili tuishi, sasa kwanini tunafanya kazi ngumu inayopelekea kutuua? If we work for the living,why do we kill ourself working
  14. Programu za PC

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  15. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi hadi nahemewa

    Watanzania wanapaswa kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu, kwani amekuwa akifanya kazi kubwa ya kutekeleza Dira ya Nchi ya maendeleo kwa watu wa matabaka yote nchini. Aliwahi kusema "Tanzania inajengwa kama nyumba, kila awamu inaongeza tofali, ikiingia awamu nyingine ukiona tofali...
  16. Trevor Belmont

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya kazi

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo leo. Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Manesi wanahitajika: Kama wewe ni nesi ajira ya nje nje hii hapa tuma maombi nenda mkachape kazi

    Nurse Position at Milvik Bima Location : Dar es Salaam, Tanzania MILVIK BIMA Founded in 2010, MILVIK BIMA is democratising healthcare in emerging markets through technology that enables affordable and accessible healthcare solutions, while empowering people to take control of their health. With...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nimesomea IT

    Habarini ndugu zangu wana JamiiForum, poleni na majukumu ya kazi, Ndugu yenu nimekuja mbele yenu mnipokee na kunisaida, nina shida ya Kazi/Ajira, Iwe Serikalini au Sector Private nitashukuru sana. Nina umri wa miaka 29, Nina Degree ya Computer Security, nina uzoefu wa miaka 4 kwenye mambo ya...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda kuuliza ATI kazi Gani unafanya? Wanamtaka mwanaume atakaetatua shida zake! Mtuonee huruma tuna watoto na wazazi!

    Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni! Na maswali yenu ya kipuuzi...
  20. Chillah

    JamiiForums Tanzania Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

    Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
Back
Top Bottom