Bila Shaka baadhi yetu tumeshawahi kusikia msemo huu huko mtaani, naam msemo huu ninaweza kuutumia kama ushauri Kwa vijana wenzangu ambao wanafunga ndoa na hasa hasa katika msimu huu WA mfungo mtukufu ambao tunatarajia hivi karibuni.
Kwanza Kwa wale ambao hawajui Dela ni nini? Ni nguo ambayo...
Kazi unayofanya sasa hivi uliiisomea? Au ajira yako ya sasa inaendana na ulichosomea?
Wale mnaofanya kazi ambazo hamjasomea na life linasonga tu basi tumia uzi huu kuwapa vijana tips na moyo kwasababu kuna wimbi la depresssion sasa hivi.
Nb: Ndugu zangu wenye degree fanya chochote cha...
Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake.
Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini.
Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye.
Amefanya na hao...
Naombeni msaada wana Jf. Naomba kujua Je chuo cha SUZA ni kwaajili ya wakazi wa zanzibar pekee au hata sisi kutoka Tanzania Bara tunaweza kuomba udahili na kusoma katika chuo hicho
Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaka huu Wakulima huko wanahofiwa kuvuna chini ya kiwango, mambo ni Mengi.
Utafanyaje kazi na DC aliyekuwa Mpinzani...
Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
Tanzania Bado ni nchi ya kikoloni!! Kama haupo kwenye cycle ya utawala utaendelea kutawaliwa TU!! Kila teuzi zinazotangazwa wanateuliwa wale wale ambao wamo kwenye uongozi na utawala miaka nenda Rudi!!
Hakuna namna ya kujikomboa kama vijana wa nchi hii!!
Habari wadau.
Binafsi najiuliza, kwanini waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kutoa huduma zao huku ni matapeli?
Mwalimu kauliwa Musoma na kuibiwa milion 9 na waganga wa kienyeji. Mwaka jana Moshi binti akishirikiana na waganga wa kienyeji walimuua mama nesi mstaafu baada ya kumtapeli mafao zaidi...
Habari jaribuni kuangalia hii kazi hapa chini
Sio mjuzi kutumia jukwaaa hili ila nilijaziwa profile na mtu so kuandika sio hobby yangu kabisa kuliko pesa itembeee nimeamua kusghare na marafiki zangu hapa kama unaona dili karibu sana inaliapa $700+ huko
Nimeshabonyeza accept
Kuna ile kamati ya tenda wasijifanye eti ni malaika watu wawaamini tu. Tenda sio jambo la kushindanishwa tu mwenye bei ya chini eti anapewa.
Kuna umuhimu wa kamati kufanya utafiti sokoni ili kujua gharama halisi ya mradi wanaotangaza. Wakijidai wanaangalia nani mwenye bei ndogo wananchi...
Habarini!!
Nimesoma bachelor degree in Electrical Engineering pia nina diploma,pia nina leseni class C Electrical installation natafuta kampuni ya kufanya nae kazi ninaomba msaada wa internship au kazi
Namba:0762136488 au
missnzowatwb@gmail.com
Mwaka 2020 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu kulikuwa na kauli maarufu sana ya CHADEMA kwamba wanataka maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu. Hoja yao ilimaanisha kwamba serikali ya awamu ya tano ilijikita kwenye miradi ambayo ilikuwa haimgusi mwananchi moja kwa moja.
Miradi kama ujenzi...
Habari! Nimemaliza bachelor ya Account lakini piah nina diploma ya Account Msaada kwa yoyote mwenye ufahamu wa kampuni au ofisi inayohitaji mhasibu iwe nafasi ya kazi au volunteer kwa level ya diploma au degree nipo tayari kufanya mawasiliano yangu 0655731336
Huko nchini Marekani Mwanaume aliyeoa wake watatu amepata umaarufu na kutajwa kuwa mfano wa mwanaume mwenye familia bora iliyoshikamana na wake hao watatu wanaoishi kwa amani na mume wao ambaye siku zote hubaki nyumbani wakati wake zake wanatoka kwenda kufanya kazi.
Mkewe wa kwanza alifunguka...
HII NI KWA WALE MNAOONA WENZENU HAWANA KAZI ZA KUFANYA!
Anaandika, Robert Heriel
Wakati nasoma, Sisi wengine tulikuwa kundi la wale vijamaa ambavyo huwezi kutuona tumeshika Daftari wala begi la shule. Kutandikwa kisa hatujaandika Notes ilikuwa ni kitu cha kawaida Sana,. Kelele mwanzo mwisho...
Kampuni moja imeanzisha utaratibu huo maalum kwenye mfumo wa kompyuta za ofisini ambao dakika 10 kabla ya muda wa kazi kumalizika unatokea ujumbe ulioandikwa “Muda wa kazi umeisha, mfumo utazima baada ya dakika 10 NENDA NYUMBANI” na ukifika muda huo mashine zinazima.
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya...
Jumatatu 20 Februari 2023, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuwa limewafukuza kazi Askari wake sita mkoani Arusha (ambao hawajatajwa majina yao) katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya Jeshi hilo.
Siku moja baadae, Jumanne 21...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.