Natafuta kazi. Nina bachelor degree ya Project Planning and Management na diploma ya Community Development

mr egrose

Member
Feb 9, 2014
14
8
wakuu habari za majukumu naitwa yohana naomba kutumia forum hii kutafuta kazi y Mambo ya yanayohusu miradi nina degree ya project planning and management pia nina diploma ya community development.

Naombeni msaada wenu pls. Naweza kukupatia any information about me when needed.

thank you.

0629493611
ysewando@gmail.com
 
wakuu habari za majukumu naitwa yohana naomba kutumia forum hii kutafuta kazi y Mambo ya yanayohusu miradi nina degree ya project planning end management pia nina diploma ya community development. naomben msaada wenu pls.naweza kukupatia any information about me when needed.
thank you.
0629493611
ysewando@gmail.com
Badala ya e weka a! Makosa kama haya yatakukosesha kazi kijana
 
Uandishi wako unakunyima credibility ndugu. Unaweza kusema mbona nimekosea kidogo lkn sometimes ni vitu vidogo vinakuondolea Iman kwa watu. But all the best kijana
 
Uandishi wako unakunyima credibility ndugu. Unaweza kusema mbona nimekosea kidogo lkn sometimes ni vitu vidogo vinakuondolea Iman kwa watu. But all the best kijana
Siku hizi uandishi sahihi ni janga la Taifa.

Imagine watu wenye degree ndio wanaandika kwa kukosea sana.

Darasa la nne la enzi za mwalimu waandika vizuri sana bila kukosea kama kizazi chetu, sijui tunakwama wapi..
 
Back
Top Bottom