Changamkia! Jinsi ya kuanza kazi kama Freelancer 2023

Oct 19, 2020
75
232
Kwanza, Freelancer ni nani?
Freelancer ni mtu yoyote self-employed anayefanya kazi kwa watu/mtu au makumpuni mbalimbali bila kuwa na long-term relationship nao wala commitment za kazi nyingne zaidi, mostly done online.

Typically freelancers hulipwa kwa lisaa, siku ama muda service anayotoa kwa clients wake. Baadhi au most common feelancing services includes logo designers, kutafsri lugha, voiceovers, uandishi, upigaji picha, editors, programmers, website designers, and professional consultants, as well as many other services.

Popote pale ulipo duniani, ukiwa na internet, smartphone au PC basi you can be a freelancer. Mambo muhimu ya kuzingitia kuwa freelancer ni yafuatayo:

1: Chagua Niche (kiukweli sijajua nini maana ya niche kwa kiswahili, but)
Hili ndilo eneo ambalo utabobea na kutoa huduma zako. Inaweza kuwa graphic design, writing, photography, video editing, au ujuzi mwingine wowote unaoupenda sana. Chagua niche ambayo unajua vizuri, na ambayo unafurahia kufanya.

2: Build your portfolio
Mara tu umechagua niche yako, hatua inayofuata ni kujenga portfolio yako. Huu ni mkusanyiko wa kazi zako na ujuzi. Portifolio yako inapaswa kujumuisha mifano ya kazi zako bora, makampuni au watu uliofanya nao kazi huko nyuma.

Hakikisha portifolio yako inavutia na rahisi kusomeka na clients. Namna kuu mbili za kuonyesha portifolio yako ni unaweza kutengeneza website au kujiunga na platforms kama behance au Dribble kuonyesha portifolio yako kwa urahisi zaidi. Kama hana kazi za nyuma basi step inayofuata itakufaa.

3: Build your network au Sign up na Platforms zinazojihusisha na Freelancing
Networking is key katika utafuta wateja na kukuza biashara yako ya freelancing. Unaweza kuanza kwa kuwasiliana na network ya watu wako wa karibu, marafiki na familia. Unaweza pia kutumia social media platforms kama LinkedIn, Twitter, na Instagram kupata wateja wanaohitaji huduma unayo offer.

Na kama hauna hizi networks, Bas unaweza kujiunga na platforms ambazo zitakutafutia wateja. Platform hizi ni kama Upwork, fiverr, freelancer, people Per hour na nyingine nyingine. Kujifunza zaidi namna ya kufanikiwa na hizi platform, bas usisahau kusubscribe. Maana tutakuwa na video za aina hiyo kukufundisha.

4: Set your rates (Jipangilie bei ya service yako)
Kupangilia bei ya service inaweza kuwa tricky kidogo, lakini ni muhimu sana. Hupaswi kujipandisha bei ya juu sana hupaswi kujishusha bei maana utakuwa unaji-undervalue. Fanya research ya bei ya services kama zako na cheza na bei hizo pia hakikisha ujuzi wako unaendana na bei unazojipangilia.

5: Manage your time (au Pangilia muda wako)
Kama freelancer, time management is key. Inakubidi upangilie muda wako effectively kufikia deadlines, deliver kazi high-quality, na jitahidi ku-manage projects mbalimbali kwa wakati mmoja.

Conclusion: So there you have it, my top tips for becoming a freelancer. Remember to choose your niche, build your portfolio, build your network, set your rates, and manage your time effectively. And most importantly, stay motivated, stay focused, and keep hustling. Thanks for reading, and I'll see you on the next one
 
Kwa mimi nae taka kuuza bidhaa yangu ya internet nafanyaje ili kuwafikia wateja weng zaid
 
The best way ni kujifunza digital marketing kwa kutangaza kupitia mitandao ya kijamaa kam Facebook na instagram, ni rahisi japo ni skill kama kama utahitaji kuanza unaweza check hii vid, inaweza kukupa mwanga
 
Bidhaa ya internet ndo ipoje ??
KONNECT MTANDAO WA INTERNET WENYE KASI ZAIDI TANZANIA

KONNECT ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet kwenye Ofisi, Nyumbani🛖, Hospital, Shule, Vyuo, Hardware , Showroom , Supermaket , Viwandani , Garage, Stationary, Pharmacy Hotels n.k

KWA NINI UCHAGUE KONNECT?
Tunajua umechoka kusubiri mtandao wako ili kuweza ku download au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao yani INTERNET kwa miaka 40 Kupitia, satelite yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.

Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena yako kwenda kwenye satelite zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet yenye speed kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa

Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed hadi mbps 100 kwa sec

Jiunge na wengine kote Tanzania kwa kutumia huduma zetu leo
Jiunge na data isiyo na kikomo popote Tanzania unganisha hadi vifaa 100

Bei zetu ni nafuuu mnooo ili kupata maelezo zaidi na kupata huduma hii
Wasiliana nasiKwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp 0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.
 
Website yenu Ni ipi. Pia mmesajiliwa hapa nyumbani na mamlaka ipi ya serikali. Mana mnatoa huduma kwa miaka 40 so Hana mkuu. Hebu niambie nizame wapi ili niwacheki kiundani zaidi, originality,mwanzilishi na nchi zipi mtoazo huduma na customers reviews ama mpo kibongo bongo kuaminiana na kufahamiana kindugu
 
Miaka 40 ni tangu kampuni ianzishe ambako chimbuko lake ni ufaransa: EUTELSAT KONNECT satellite network na ina sambaza huduma nchi mbali mbali ulaya na afrika pia na apa Tanzania tumeingia mwaka jana 2022/9 kwa dar ofisi zipoPPF TOWER 3rd floor kwa mwanza ni PSSF TOWER FLOOR 4. Email:infor@fanix.co.tz, Web:www.fanix.co.tz mawasiliano namba zipo post ya juu app. Nadhan nimekujib mkuu.
 
Thank you. So jitahidi uwe unaweka full information. Huko kwenye website nadhani anapata kila details
 
Miaka 40 ni tangu kampuni ianzishe ambako chimbuko lake ni ufaransa: EUTELSAT KONNECT satellite network na ina sambaza huduma nchi mbali mbali ulaya na afrika pia na apa Tanzania tumeingia mwaka jana 2022/9 kwa dar ofisi zipoPPF TOWER 3rd floor kwa mwanza ni PSSF TOWER FLOOR 4. Email:infor@fanix.co.tz, Web:www.fanix.co.tz mawasiliano namba zipo post ya juu app. Nadhan nimekujib mkuu.
Halafu mie nilitegemea nione website ya huko France . So nyie hapa Ni franchise or Ni agents wa services zao mkuu.
 
Per month Ni Bei gani kifurushi ama viko variable due to speed variation. Niko hapa hapa jirani yako Mwanza. Upo Kenyatta mie nipo karuta road
Vipo kutokana na speed unayotaka kutumia au kwa mayumiz yapi.
Mf kifurush cha konnect 20 gharama yake per month ni elf 60000/= stating speed n mbps 20 akianza kutumia 0kb-10gb sped ina pungua anatembea na mbps3 akitumia ad mbps 15 inashuka ad minimum speed had mbps1 ambayo atatembea nayo had mwez mzima lkin kuanzia saa 4 usiku had saa 12 alfajil kuna offer yakutumia internet free bila makato kwa speed kubwa ya mbps 20 na mteja akiwa ana taka kudable malipo mf alipe miez 11 ambay ni sawa na 660000/= yuna mfanyia discount ya 460000/= analipa 200000/= anapata internet yake kwa miez 11 kwa laki mbili na kila mwez unapo anza speed ina jilinew
JPEG_20230324_174554_9211688671434944195.jpg
 
Back
Top Bottom