Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

King Rabbit

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
736
2,673
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira.

Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini sijawahi kuona simu wala txt,waswahili wanasema bila lift haufiki.

Nina nakalaa muhimu za kitaaluma na vinginevyo.

Nina uwezo wa kufanya kazi katika hali ya uaminifu wa hali ya juu pasipo kusimamiwa.

Nina uzoefu wa kutosha usiopungua miaka 7+ barabarani.

Kwa yeyote mwenye roho ya ki-kristo na angependa kunisaidia napatikana kwa namba hii

Wtsp/Call/Txt +255(0) 654 486 097.
 
Natumaini wote wasomao thread hii ni wazima wa afya.

Mimi ni Dereva wa magari yote makubwa na madogo manual/automatic transmission, napatikana Dodoma mjini....Elimu yangu ni form 4 nina viambatanisho vyote muhimu kwa kada yangu husika.Nina uzoefu wa miaka 6 barabarani bila kusababisha ajali.

Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile ikiwa ni serikalini,private au ng'o....na napatikana pia Dodoma mjini

Napatikana kwa mawasaliano haya.

+255(0) 654 486 097
+255(0) 744 487 151
Email: Aaronjustin3@gmail.com
 
Tatizo hamjitambui, utatafutaje kazi Dodoma wakati malori, mayadi mengi yako Dsm?
 
Tatizo hamjitambui, utatafutaje kazi Dodoma wakati malori, mayadi mengi yako Dsm?
Umetafsiri tofauti mkuu,hata Dodoma mazingira hayo yapo pia hata mwanzo nilikuwa huko Dar nimepoint Dodoma kwa sababu zangu binafsi.
Vile vile hata gari ndogo pia naendesha naona wewe umelenga zaidi kwenye kubwa tu.
 
Natumaini wote wasomao thread hii ni wazima wa afya.

Mimi ni Dereva wa magari yote makubwa na madogo manual/automatic transmission, napatikana Dodoma mjini....Elimu yangu ni form 4 nina viambatanisho vyote muhimu kwa kada yangu husika.Nina uzoefu wa miaka 6 barabarani bila kusababisha ajali.

Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile ikiwa ni serikalini,private au ng'o....na napatikana pia Dodoma mjini

Napatikana kwa mawasaliano haya.

+255(0) 654 486 097
+255(0) 744 487 151
Email: Aaronjustin3@gmail.com
Nafasi za kaci zimetangazwa sehemu
 
Nenda maneno transport maili mbili mwisho wa lami, ulizia maneno transport jamaa ana malory mengi hukosi kazi, au nenda yard za mkulanzi nkuhungu au nenda iyumbu kuna yard kibao za wachina wana miradi ya barabara za mji wa serikali na nyumba wanazo dump truck za kutosha.
 
Asante mkuu kwa mchango wako nitaushughulikia ipasavyo.
 
Back
Top Bottom