kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Abbas Mtemvu Awaonya Viongozi Wasiofanya Kazi za Ilani

    ABBAS MTEMVU AWAONYA VIONGOZI WASIOFANYA KAZI ZA ILANI Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar Es Salaam Abbas Mtemvu, amesema Diwani yoyote wa chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo na Mbunge asiyetekeleza Ilani ya chama afai kwa uongozi . Mwenyekiti wa CCM mkoa Abas Mtemvu, alisema...
  2. JamiiForums Tanzania Naona ipo siku nitaiacha hii kazi ya ualimu ni wakati Sasa wa Kutengeneza mifumo

    Fikiria hupo chama Cha chakuhawata alafu inatokea tu chama kingine (CWT) wanapitisha makato yako na umeshajitoa, Unaenda kwa afsa utumishi ( Hapo umeshamtafuta mwezi mzima hayupo ofsini) anakujibu short tu kwa dharau kwamba nenda huko CWT wakuandikie kwamba wewe sio Mwanachama wao uniletee hapa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni yangu changa: mshahara 250,000/= fixed. Location: Kigamboni. Aina ya kazi: Salesperson: Vinywaji (soft drinks) kwa kutumia VAN. Contract ni miezi 3 renewable based on performance. Muda wa kazi : Saa 2 asb hadi 10 jioni. Jumatatu hadi Jumamosi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Keda Ceramic - Twyford Tiles

    Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa tena...Kuna yoyote amekutana na jambo kama hili?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Habarini ndugu, jamaa na marafiki. Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology. Nina uwezo wa kufundisha primary, secondary na advanced level. Nipo mbeya. Please mwenye kujua shule yenye uhitaji au connection anijulishe. Namba ya simu: 0766698323
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kazi yoyote ndani ya Arusha ya halali niko tayari kufanya

    Habari wakuu, mimi ni mwanaume ninayehitaji msaada wenu, mambo yamekwama na hayaendi kabisa. Nimejaribu kupita huko na huko lakini bado sijafanikiwa, mdau yoyote atayeweza nisaidia nipate mahali pa kufanya kazi nitashukuru sana. Nina uzoefu na mambo ya migawaha ya kimataifa, pia naweza...
  8. JamiiForums Tanzania Mbali na kuwa DP World hawajaanza rasmi kazi ya Bandari nchini, ajabu wamefanikiwa kutugawa kidini

    Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri? Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye umoja wetu. Sasa watu maarufu kabisa, wasomi na viongozi wakuu wa dini na serikali wanaacha kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

    Nyie kuna watu waongo aisee. Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua. Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa. Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenye miradi mbalimbali huwa wanapataje?

    Wakuu mwema. Kuna miradi mingi inaendelea hapa mjini Dar es salaam. Kuna mwendokasi maeneo mbalimbali wanatengeza. Kuna barabara za mitaa zinajengwa maeneo mbalimbali, lakini yote hii huwa naona watu wakishiriki ujenzi huo (vibarua). Sasa huwa najiuliza huwa wanapataje hizo nafasi, kuna...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?

    Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi? Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi: Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Nina umri wa miaka 28 ninaishia Bagamoyo maeneo ya Mapinga shule ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 na Secretary hivyo ninaouzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.na kazi ya uwakala wa benk na tigopesa na Mpesa,usafi ofisini. Ninaouwezo...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

    Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo Chini ya Umri wa miaka 25 Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
  15. JamiiForums Tanzania Ungeweza kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungetamani kufanya kazi gani?

    Wakuu kwema? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungependa kufanya kazi gani? Haijalishi ina hela au lah, lakini kazi hiyo inakupa amani ya moyo na furaha na unaona ungekuwa unafanya hiyo yaani utakuwa na furaha maisha yako yote, ungependa kufanya nini? Mi napenda sana...
  16. JamiiForums Tanzania Akina Jemedari wamenawishwa kazi ya uwakala wa wachezaji

    Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji. Hii imekata ngede kwa machawa wa wachezaji, watafute kazi nyingine.
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji mahali pa kazi

    HABARI WADAU Natumai mu wazima, nimefurahia kujitokeza tena kwenye kinyang'anyiro cha shindano hili hapa jukwaani. Nijikite kwenye mada tajwa hapo juu isemayo: "Uwajibikaji mahali pa kazi hulete chachu ya maendeleo na kukua kwa uchumi kwa jamii inayotuzunguka na eneo uliilopo na hata kwa mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Gaming Desktop Kwa kazi zote ngumu

    Asus Rog STRIX Z390-F Customized Gaming Desktop Core i7 9th Generation SSD 512GB+HDD 3TB RGB RAM 16GB DDR4 CPU 3.20 GHz 8 Threads RTX 2060 Super 8GB Power Supply Modular 600W Wi-fi Adapter 5 RGB FAN Hii Mashine ni nzuri kwa kazi zote ngumu.👇🏾 Rendering ✅ Video Production ✅ Graphics Design✅...
  19. JamiiForums Tanzania Website developer (wordpress developer) Natafuta Kazi

    Habari wanajf, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni self taught web/wordpress developer Natafuta kazi kama website/wordpress developer Niko tayari kufanya kama freelancer,part time, remote au full time. Kama unamjua mtu yeyote mwenye connection ya kazi, au unaijua web development...
  20. JamiiForums Tanzania Je utendaji kazi wao unafanana na mikoa waliyopangiwa!!!!

    1.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa. 2.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay. 3. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia Jongo. 4. kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Theopista- kamanda wa polisi mkoa wa Songwe. 5. Kamanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…