Natafuta kazi ya ualimu

Leesun

New Member
May 15, 2023
4
5
Habarini ndugu, jamaa na marafiki.

Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology. Nina uwezo wa kufundisha primary, secondary na advanced level. Nipo mbeya.

Please mwenye kujua shule yenye uhitaji au connection anijulishe.
Namba ya simu: 0766698323
 
Google hizo kazi world wide sio lazima iwe Bongo tu.... Jaribu kuangalia viwanda vya chemical hapa Bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom