Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema kwa Nchi.

Apishe kiti na Rais afanye marekebisho.

Hatua ya kwanza tuanzie hapo tusipoteze muda.

HATUA YA KIUNGWANA KWA WAZIRI WA UCHUKUZI KUHUSIANA NA DPW

Waziri wa uchukuzi aombe radhi Taifa na Ofisi za UMA Kwa kutowajibika vyema kumshauri RAIS Umuhimu wa kusimama na Nchi kwenye SWALA la ubinafisaji wa mpaka WA Nchi (Bandari) na kufanya Maboresho kulingana na mapungufu kwa maslahi mapana ya Ulinzi na Usalama wa Uchumi wa Nchi Yetu.

Hatua hii ya kiungwana ni Muhimu kwa Taifa na Ina Faida kubwa kwa Mheshimiwa Rais kuweza kusimamisha jambo hili linalotia Watanzania wengi hofu ya Usalama wa kiulinzi na wa ki Uchumi wa Nchi Yao Tanzania, lakini pia inaibua hoja zingine zinazoongeza mzigo wa Changamoto mpya ya Muungano wa JAMHURI ya Tanzania.

Ombi la radhi la Mheshimiwa Waziri kwa Ustarabu wa kiutumishi litampa nafasi mpya pia ya kujisahihisha binafsi na watumishi wengine wa Serikali ikiwemo ofisi ya UTUMISHI ya Nchi.

Muhimu Zaidi itatia nafasi rahisi kwa Serikali na Rais ataweza kupata nafasi adhimu ya kulifuta jambo la DPW kwa maslahi mapana ya Ulinzi na Usalama wa mpaka (bandari), kuzima mgogoro unaoweza kuibuka wa Muungano Wetu, Chama Cha CCM kitapata nafasi ya kuwa salama katika msimu wa uchaguzi hapo mwakani, na Zaidi Rais SAMIA SULUHU HASAN ataonyesha uungwana na Ukomavu wa Kiungozi na uwajibikaji katika kusimama na Taifa wakati wa mgongano wa Kimawazo ya kiutendaji Katika Taifa letu, hivyo kumpa nafasi adhimu ya Kusimama kifua mbele nyakati zake zote katika majukwaa ya kisiasa na mengine mengi Kama mtatuzi mkuu wa Changamoto za wananchi wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.

Prof Focus Azariah Mzalendo KILULU Jr
+255753915057
 
Pia akiachia ngazi huyo waziri, wengine ni Waziri mkuu akitoe pamoja na mwanasheria mkuu.
 
Wewe, hakuna cha Mbarawa wala Mpare. Huna ujanja kwenye mikataba ya Kimataifa, andika uandikavyo, hata uiandike juu chini, vigezo vya kimataifa tayari vipo, mwisho wa siku huna ujanja.

Mfano, hata mkataba useme DP World uendeshwe kwa miaka 5. Mwisho wa siku kinatazamwa kigezo cha Kimataifa, hayta kama makataba wenu unasema miaka 5 Kigezo cha chini ni miaka 25 kwa sasa.

Hujaoina mwanasheria wetu alivyohewnyeshwa ICSID, kuna kipendele aliulizewa, mbona hiki mmeweka hivi? yaani nje ya vigezo vya Kimataifa, akasema tulikuwa tunavutia uwekezaji. Si akaonekana mpumbavu tu, maana kinamuumiza yeye mwenyewe. Lakini Mahakama haitatumia ule ujinga wetu, uamuzi utatoka kwa kufata vigezo vya Kiamataifa.
 
Back
Top Bottom