kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mimi ni mkristo lia lia ila mambo anayoongea Mohamed said kabla ya uhuru yanafikirisha yasipuuzwe na yafanyiwe kazi

    Nimesoma mabandiko mengi ya mzee Mohamed Said kuhusiana na uhuru ni ukweli usiopingika historia ya Tanzania imechakuchuliwa sana ni fupi sana kitu ambacho kinaleta doubt. Sitaki kumlaumu Julius Kambarage Nyerere ila nachojua alikuwa mwerevu sana kuliko wenzake yaani wakati wapo kwenye harakati...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI. Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
  3. JamiiForums Tanzania "Kampuni yetu ya Teknolojia tunatafuta Mwekezaji wa kuongeza nguvu ya mtaji na Ufanisi kwenye kazi "

    Jambo, Tunatafuta mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza katika kampuni yetu ya teknolojia inayojihusisha na kuuza vifaa vya usalama wa elektroniki na shughuli zingine za teknolojia. Tunaamini kuwa uwekezaji wako utatusaidia kuongeza ufanisi wetu na kufikia wateja wengi zaidi. Kuhusu kampuni yetu ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  6. JamiiForums Tanzania Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

    Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
  7. JamiiForums Tanzania Waliovyobipu walijisifia wanaijua kazi, hizi kelele za kuonewa wanavyopigiwa zinatoka wapi?

    Nashangaa kumekuwa na jitohada kubwa zinafanyika ionekane kwamba aliebipu aonekane ni muhanga wa kitendo alichofanya akijua kabisa ukibipu kinachofata huwa ni kupigiwa. Mwanzoni alivyobipu alijisifia ni shujaa na kutembea kifua mbele, simu ikaanza kupigwa ila aliebipu hakupokea zikawa ni missed...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya nafasi za kazi zinazotangazwa zinakosa watu

    Habari wanajamvi Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu shida ni nini...? Ni kwamba vijana sikuizi hawajiriki ndoo maana baadhi nafasi kukosa watu na kua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ma IT tuunganishe nguvu tuweze kunufaika na kazi na ubunifu wetu

    Tttt
  10. JamiiForums Tanzania RASMI: Belouizdad yamfuta kazi kocha wake Sven Vandernbroeck (Kishingo) aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba

    Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria Imetangaza Kumfuta Kazi Kocha wake Mkuu Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji Kufuatia Mwenendo Mbaya wa Timu hiyo katika mechi za Ligi kuu ya Algeria (League 1) ambapo Wikiendi hii Timu hiyo ilipoteza mchezo wake wa Ligi wakiwa nyumbani dhidi ya Klabu ya Khenchela...
  11. K

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KAZI YA CLEARING AGENT

    Kampuni ya JASMIS INTERNATIONAL LIMITED yenye ofisi zake Mbezi Beach Karibu Na CHEMICOTEX INDUSTRIES inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 14,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe...
  12. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi

    Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza. Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika...
  13. JamiiForums Tanzania Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumuamini fundi yeyote yule ukamlipa pesa ya kazi? Siku ya kupokea kazi isiendane na pesa ulomlipa?

    Ndo hivo yaani mtu nimempa lakitatu anifanyie kazi, siku ya kuleta kazi haiendani hata kidogo na pesa ni liyompa Na sitaki kuzozana na mtu, dunia tunapita tu.
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka kwenye hali ngumu na kutafuta fursa za kazi zisizohitaji ujuzi maalum

    Habari zeni wakuu, kwa heshima na taadhima nmeona nilete jambo langu hapa. kwa maana katika harakati za msoto wa kila siku nmeona ni vyema kuleta jambo langu aidha naweza kupata idea ama kupata fursa yeyote kwani niko tayari kujifunza So ladies and Gents Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23...
  16. JamiiForums Tanzania Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

    Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15 Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13. Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
  17. JamiiForums Tanzania Kazi ya Sticker za usalama barabarani ni nini?

    Wadau naomba kuuliza jambo hapa,ivi kazi ya sticker za usalama barabarani huwa ni nini? Na ni utaratibu gani unatakiwa ufuatwe ili kuzipata hizi? Maana sielewi na ninachokiona huku mtaani,kumekua na wimbi la vijana wanaosimama sehemu mbali mbali wakiwa wamevalia reflector jacket wengine za...
  18. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali

    Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali ya gari Njombe Mwalimu Furaha Msule anayefundisha shule ya Sekondari Kidegembye iliyopo Lupembe halmashauri ya wilaya ya Njombe amesimamishwa kazi kwa kosa la kuwachukua wanafunzi na kuwapeleka kupakia...
  19. JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda. https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu... kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…