Misaada keyboard ya laptop herufi I na backspace zimeacha kufanya kazi

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,308
1,423
Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
 
Bila shaka ni dell,hp au lenovo
Inaweza kuwa ni tatizo la hardware(Uchafu kama vumbi) au Software(Virus) mara nyingi tatizo ili haliponi mpaka ubadili ketboard
 
Sasa mkuu msaada gan tena unahitaji laptop mbovu hiyo, toa keypads badilisha mpyaa... simple...au nunua vi smart external keyboard umemaliza...
Shida kujipa tqbu yote ya nini kupachuq pachua tu "key" kama fund pc bwana..acha hizo bas

Screenshot_20231205_232822_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom