kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jennifer Gitiri ashtakiwa kwa kushikilia nafasi nono kadhaa za kazi za umma

    Jennifer Gitiri ameshtakiwa kwa kushikilia nafasi nono kadhaa za kazi za umma She is: Acting CEO, Council of Legal Education. Acting Secretary, Council of Legal Education Deputy Director, Assets Recovery Agency(ARA). Corporate Secretary, Assets Recovery Agency (ARA). Board member, Kenya Law...
  2. JamiiForums Tanzania Misaada keyboard ya laptop herufi I na backspace zimeacha kufanya kazi

    Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
  3. JamiiForums Tanzania Kazi au Rehabilitation

    Mtu haouko addicted na pombe kazi yako iko vizuri na hakuna lawama Wala malalamiko yoyote kwa unaowahudumia lakini BOSS WAKO anakuambia chagua moja moja kazi au uende rehab? Nlikua Naomba kufahamu mwajiri akitaka kumpeleka mfanyakazi wake rehab anatakiwa kufuata utaratibu gani?
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wana JF, Mimi ni mhitimu wa ufundi umeme majumbani mwaka wa pili. Nipo Dar Natafuta kazi hata ya kujitolea ili kuongeza ujuzi na uzoefu katika fani yangu. Nina imani hapa JF wapo watu watanisaidia katika hili. Asanteni🙏
  5. JamiiForums Tanzania Hivi "Bush" bado anafanya kazi Bodi ya Mikopo?

    Kuna dogo anazinguliwa kuhusu mkopo nauliza hivi bush bado yupo bodi ya mikopo? Halafu please mnaweza kunikumbusha jina halisi la Bush? Watoto wa udsm 2006- 2010 msaada wenu please.
  6. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wanafanyia kazi Matokeo ya Tume iliyochunguza Ufisadi. Tanzania tunaishia kwenye kuunda Tume tu

    Mashtaka 9 ya Jinai yakiwepo mawili ambayo Washtakiwa walikutwa na Hatia yalifunguliwa kwa ajili ya kupambana na Ufisadi ikiwa ni baada ya Rais Ramaphosa kuwasilisha Mapendekezo Bungeni. Mashtaka hayo yamehusisha Watu 47 na Kampuni 21 Oktoba 2022, Rais Ramaphosa aliwasilisha Bungeni Mapendekezo...
  7. JamiiForums Tanzania Ahadi za Viongozi kuhusu kuanza kwa Huduma za Usafiri wa Treni ya SGR zimedumu kwa miaka 5 na bado haijaanza kazi

    Kwa takriban miaka 5 kumekuwa na ahadi kutoka kwa Mamlaka mbalimbali juu ya kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni yenye Kasi zaidi (SGR) lakini utekelezaji wake umekuwa na mabadiliko ya muda mara kwa mara yanayotajwa kusababishwa na kutokamilika kwa baadhi ya Miundombinu. Hapa kuna mtiririko wa...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Tanga

    Ni mhitumu wa chuo, kama kuna Kazi mkoa wa Tanga naomba connection. Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Titus Amigu: Kazi ya mwanaume ni kutafuta

    KAZI YA WANAUME – KUTAFUTA: Sehemu ya I Wanasayansi wanasema na ndivyo ilivyokusudiwa na Mungu. Mwanaume Adamu aliwekwa bustanini Edeni ailime na kuitunza (Mwa 2:15). Hata yeye na mkewe Hawa walipochafua uhusiano wao na Mungu aliadhibiwa katika mstari huo huo wa kazi akiambiwa atakula kwa jasho...
  10. JamiiForums Tanzania Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

    Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa Taasisi au Mawakala wa uhakika wa kuunganisha kazi nje ya nchi (Ulaya/ Marekani/ Kanada)

    Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA, Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama una kitu na unahitaji kikue hakikisha unakitoa kwa njia postive (Chanya) na hii ndo siri ya kutoboa katika career yako au Kazi.

    Kama upo na talanta au karama hakikisha unaitoa kwa njia chanya Kwa WATU baada ya hapo karama yako itakuzwa Mara-dufu. Hii ndo siri huwa wanaitumia watu Kama Robert Heriel Mtibeli na wengine katika kupata Mafunuo ya kuandika na kufatiliwa na WATU Mungu aliwapa karama na wakaitumia positive na...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi jeshi la zimamoto na uokoaji

    Tangazo linaajieleza
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

    Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani. Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
  15. JamiiForums Tanzania Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

    Nimeukuta umejiotea pembeni ya nyumba... Je ni dawa!?... Inatumika kuponya nini!? 👇
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  17. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
  18. JamiiForums Tanzania Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

    Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi. Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia...
  19. JamiiForums Tanzania Kama umejiajiri unapaswa kufanya kazi kwa bidii, ukiajiriwa acha sifa fanya jukumu lako tu

    Hello! Ndio hivyo wazee, kama umejiajiri fanya kazi kwa bidii maana biashara ikifilisika na wewe umefilisika automatically bila kipingamizi. Ila kama umeajiriwa neno bidii halikuhusu, kumbuka kuwa kama ulijaza mkataba wa kuanza kazi ni vyema ujue kuna mkataba wa kumaliza kazi. Watu wengi...
  20. JamiiForums Tanzania Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…