kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  2. JamiiForums Tanzania Taa hii chumbani huwa na kazi gani?

    Wajuzi wa mambo mtu akiweka taa ya rangi kama hii huwa anaitumia kwa kazi gani?
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi. 3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wizi nayo ni kazi?

    Kwa sababu kuna wale ambao kila asubuhi wanapotoka nyumabni huaga kwamba wanaenda kazini, na kumbe huwenda kuiba Karibuni tujadili wizi na aina zake
  5. JamiiForums Tanzania Kwa waliooa tu, jambo gani au kazi za nyumbani,zinakupa shida pindi mkeo anapokuwa amesafiri na umebaki mwenyewe nyumbani mpaka zinafanya umkumbuke

    Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza. 1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu. Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
  6. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na malalamiko mizigo kichelewa kutoka Bandari ya Dar es Salaam. Hali hiyo imeboreshwa kwani hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar es Salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili. TPA imeelezwa kwamba, Mwezi wa 11 na 12...
  7. JamiiForums Tanzania Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani watapimwa kwa kazi wanazofanya na sio kwa maneno au kujipendekeza kwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

    Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale. Zaidi ya Mabasi 100...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba PM Majaliwa amenyimwa uhuru wa kufanya kazi

    Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!? Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali. Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna kazi nyingi katika nchi hii hazina faida kwa Taifa. Serikali ifikiri namna ya kuzikomesha au kuziboresha

    Nchi ya Tanzania watu wanachapa kazi sana na watu wavivu au wenyewe wanajiita wasio na kazi wako pia. Turudi kwenye mada. Serikali inawaza nini juu ya kazi ambazo hazina tija kwa taifa, hazichangii pato la taifa? Kazi ambazo zinampa ugali mfanyaji na familia yake basi. Taifa litasonga vipi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi uliyokuwa unafanya mwanzo kabla ya kushushwa cheo

    Habari wakuu, Ninaomba ushauri wa jambo hili. Miaka miwili iliyopita niliashushwa cheo kutokana na kutoelewana na mfanyakazi mwenzangu ambaye hayupo tena kwenye kampuni yetu. Sasa nafasi hiyo imetangazwa tena ila kwa mkoa mwingine. Na mmoja kati ya wahusika wa usahili ni kiongozi aliyekuwepo...
  13. JamiiForums Tanzania Jose Mourinho ameingiza Tsh. Bilioni 255 za fidia kwa kufukuzwa kazi

    Kocha Jose Mourinho (60) kwa sasa hana timu, rekodi zinaonesha amefukuzwa kazi mara 6 katika maisha yake ya Ukocha. Uamuzi wa kumfukuza kazi umemfanya kukusanya jumla ya Pauni Milioni 80 (Tsh. Bilioni 255) kama fidia kutoka klabu mbalimbali. Malipo ya Mourinho kwa kufukuzwa kazi Chelsea –...
  14. JamiiForums Tanzania Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Klabu ya AS Roma yamfukuza kazi Jose Mourinho kutokana na matokeo mabovu

    Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United ameshinda mechi 68 kati ya 138 lakini hivi karibuni amekuwa akitolewa nje ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara. Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali. Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini 1. TRA 2. BOT 3. DCEA 4. TISS 5. IMMIGRATION 6...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye kampuni/ biashara binafsi ni heri ufanye kazi kwa Muhindi, Muarabu, Mchina ama Mbongo mwenzako?

    Kiwango cha malipo chenye afadhali kulingana na mzigo unaopiga Muda wa kupumzika Uvumilivu/ Tolerance wa kufanya makosa Uhuru wa kufanya mambo yako kwa kiasi uwapo kazini Job Security
  18. JamiiForums Tanzania Kazi hizi zinawafaa INTROVERTS wa Tanzania wasiopenda ama wenye shida ya kusocoalize

    Introverts ni watu wanaopenda kuwa peke yao ama kuwa na circle ndogo sana ya watu, ni aidha wana aibu, wakimya, wana ulemavu wa mawasiliano, n.k. hivyo kupelekea wao kuwa na uwezo mdogo wa kusocialize, Watu hawa huchukuliwa kimakosa kwamba wana viburi au wana jeuri, Kazi hizi zinawafaa...
  19. JamiiForums Tanzania Enyi Vijana, chezeni kwenye ajira za serikali lakini ajira za makampuni / biashara binafsi muwe serious sana na kazi, kufukuzwa ni instantly

    Nayaongea haya mchana huu ikiwa nimepigiwa simu na kijana graduate niliemtaftia kazi mwezi wa 11 mwaka jana kuniambia kafukuzwa kazini, ishu yake ni kwamba alikuwa mtu wa kutoka toka muda wa kazi. Ajira za serikalini mambo ya kutoka wakati wa kazi yamezoeleka, waweza fanya masihara utavumiliwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

    AZIM DEWJI: UHABA WA UMEME UNATOKANA NA MAENDELEO YA WANANCHI Mfanyabiashara mkubwa nchini Mzee Azim Dewji ameongea na waandishi wa habari leo Januari 13, 2023 na kueleza kuwa amefanya utafiti mdogo na kugundua moja ya sababu zinazopelekea uhaba wa umeme nchini ni kuongezeka kwa mahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…