Natafuta kazi ya Graphics Designer

Siwuya

Member
Feb 9, 2021
13
13
Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B).

Nimefanya kazi hii ya Graphics Designing kama Freelancer kwa zaidi ya Miaka Minne(5) kwenye Maeneo tofauti kama Vile Iringa, Mbeya, Morogoro na Dodoma, Kama kuna MTU yupo tayari kuwekeza / au tayari yupo kwenye biashara naomba nafasi ya kufanya nae kazi.

Skills/ Ujuzi:-
Adobe Photoshop / Illustrator / Premier / After After Effect

-Aina ya kazi nimefanya kwenye Eneo hili ni
1) Mabango ya Kuprint -Aina zote ( Promotion Material)
2) Sticker za Magari, Pikipiki na Bajaji
3) 3D/2D Signage
4) T-shirt Printing

Mawasiliano: Calls/SMS 0743000284
Ahsante naomba kuwasilisha

MLAANGONI TWO-01.png
 
Mkuu pambana, nami ni graphics designer nilianza kama wewe humu humu. Uzi wangu uko humu humu.

Pambana, ushauri wangu kwa sababu graphics inaanza kuwa common unaweza jitofautisha kwa kufocus zaidi na 3D blender, iwe advantage kubwa kwako.
 
Mkuu pambana, nami ni graphics designer nilianza kama wewe humu humu. Uzi wangu uko humu humu.

Pambana, ushauri wangu kwa sababu graphics inaanza kuwa common unaweza jitofautisha kwa kufocus zaidi na 3D blender, iwe advantage kubwa kwako.
Ahsante,Nimepokea nitaifanyia kazi hilo
 
Hello wana JF, haijaisha Mpaka iishe, Nimerudi tena naomba mnisaidie kushare hii tafadhali, Natafuta kazi ya ICT SOLUTIONS / GRAPHICS DESIGNER

Kazi nazofanya kwenye Eneo la GRAPHICS DESIGN ni
-T-shirt Printing,
-Graphics Design, Printing & Branding,
-Car Tinted & Sticker
-Social Media Banner Ads


Kwenye Eneo la ICT SOLUTIONS Ujuzi nilionao
-Networking,
-Software & Hardware Repair
-Webdesign

Level of Education Degree
Simu:- +255 743000284

Sample of Work Portfolio Attached Below:
Ahsante
 

Attachments

  • PORTIFOLIO (NAFTARY MBUGI).pdf
    1.5 MB · Views: 7
Back
Top Bottom