B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 687 Reaction score 1,319 Mar 11, 2024 #1 Wadau, ninahangaika muda mrefu leo kufanya miamala ya mpesa lakini sifanikiwi?? Ni mimi tu au na nyie wenzangu?? Kulikoni???
Wadau, ninahangaika muda mrefu leo kufanya miamala ya mpesa lakini sifanikiwi?? Ni mimi tu au na nyie wenzangu?? Kulikoni???
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,878 Reaction score 14,724 Mar 11, 2024 #2 Iko chini m pesa nimetuma hela za watu kama watatu hivi zote hazijafika, Kuna mmoja kanifata dukani anataka kuntoa shingo
Iko chini m pesa nimetuma hela za watu kama watatu hivi zote hazijafika, Kuna mmoja kanifata dukani anataka kuntoa shingo
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,311 Reaction score 15,307 Mar 11, 2024 #3 Nilitaka bubeti mechi ya yanga ashinde HT/FT ilikuwa na faida 48% nikadeposit booster mpaka muda huu haijaingia. nilikuwa napata hela ya bia mwezi. nawapigia kwa namba iliyodeposit nakatiwa mwishoni. Napiga kwa lipa namba naambiwa nipige kwa namba husika.
Nilitaka bubeti mechi ya yanga ashinde HT/FT ilikuwa na faida 48% nikadeposit booster mpaka muda huu haijaingia. nilikuwa napata hela ya bia mwezi. nawapigia kwa namba iliyodeposit nakatiwa mwishoni. Napiga kwa lipa namba naambiwa nipige kwa namba husika.
D Deleted01 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 3,886 Reaction score 9,009 Mar 11, 2024 #4 Tafuta hela mkuu, labda Songesha ndo haifanyi kazi.
Zero_Day Senior Member Joined Jan 23, 2024 Posts 134 Reaction score 437 Mar 11, 2024 #5 Deleted01 said: Tafuta hela mkuu, labda Songesha ndo haifanyi kazi. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji851]
Deleted01 said: Tafuta hela mkuu, labda Songesha ndo haifanyi kazi. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji851]