Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,133
- 20,296
Japo hatujawahi kufundishwa kwa kina kuhusu kitu kinaitwa Deep State lakini tunaeleweshwa mahali mbali mbali kwamba Deep State ni Kundi la Siri la Wazalendo ambao ndio hasa Husukuma Gurudumu la Ustawi na Uhaif Wa Taifa ktk Nchi fulani.
Kutokana na maelezo ya kina ya weledi ya Mh Tundu Lissu akijibu maswali ya waulizaji kwenye mkutano wake ameelezea mambo mazito.
Ndugu wananchi kama mnavyofahamu kila Nchi Yetu inapopitia Mkwamo wa kiuchumi, maendeleo na Ustawi huwa Wananchi wanapeleka lawama zao kwa viongozi walioko madarakani.
Kwa hiyo ni muhimu sana kuzingatia namna viongozi wanavyopatikana kwenye Chaguzi zetu.
Kwamba tuhakikishe wanapatikana viongozi bora na wenye uwezo.
Na kwamba tupate viongozi wazalendo, wachapa kazi, wenye kuheshimu sheria, katiba na Haki za Binadamu hasa Watanzania.
Sasa kinachonisikitisha ni baada ya kusikia Takwimu hizi. Zimenifanya nielewe kwa nini hasa Tanzania hatuwezi kutoboa kiuchumi labda kwa miujiza tu. Ambayo nayo haiwezekani maana hakuna wanaomcha Mungu kwa hakika.
Kwamba Eneo lenye Wapiga kura laki nne na hamsini lina jumla ya Wabunge Takribani 50??
This is a Joke kama Taifa.
Kwamba baadhi ya maeneo ya kiuchaguzi majimbo yanaongezwa ili ku secure nafasi za kugombea za watoto na watu fulani fulani.
Hili linasikitisha sana
Tuamue Kusuka au Kunyoa.
Asante sana Mh Tundu Lissu