kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote

    Nina diploma ya banking and finance,natafuta kazi yoyote nipo Dar,sm namba 0615706275..niko available hata Leo.
  2. JamiiForums Tanzania Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Naomba nende kwenye mada moja kwa moja. Leo Tarehe 27 febr Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti. Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi ya Wakuu wa Mikoa ni nyepesi sana

    Heshima sana wanajamvi, Inafahamika Jumanne yatakuwepo maandamano hapa Jijini Arusha. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imekuwa katika harakati kubwa za kutaka kuyazuia maandamano hayo kwa kutumia njia haramu na zinazo kiuka misingi ya katiba yetu yenye mapungufu mengi. Mosi kamtumia mwenyekiti...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

    Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
  5. JamiiForums Tanzania OCD Bunda fuatilia utendaji kazi wa baadhi ya mgambo wanaokusaidia kazi wengi wanashirikiana na vibaka

    Naandika andiko hili kwa uchungu sana!Kwanza ni jambo zuri sana Kwa jeshi la polisi kushirikiana na jeshi la akiba maarufu kama Mgambo katika kulinda usalama wa raia na mali zao.Ni jambo la kupongezwa na Kila mtu anayelitakia mema Taifa lake! Mkuu pasipo kuficha kitu hawa Mgambo wanaosaidiana...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
  7. JamiiForums Tanzania Dereva natafuta kazi.

    Dah ngoja nijalibu tena kuomba labda ipo siku mungu ataniona. Habari ndugu zangu poleni na uvumilivu wa kungojea muujiza wa mungu..usijali jua aupo peke yako wengine tunakalibia mwaka wa pili sasa atujaona cha muujiza wala cha nn na kama kuomba tunaomba sana..kuna mda unaweza ukakufuru anyway...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection ya kazi

    Naombeni connection ya kazi VIWANDANI nipo Dar, Hotel,Dukani, Kufanya usafi,n.k
  9. JamiiForums Tanzania Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
  10. JamiiForums Tanzania Anayejua mazingira ya kazi za security OMAN na DUBAI

    Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
  11. JamiiForums Tanzania Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na BoT

    Na Eva Valerian na Asia Singano Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ili kuboresha huduma za fedha na kuleta maendeleo ya kiuchumi hapa nchini. Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendelezaji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba Connection katika kazi za ujenzi

    Wakuu habari Majukumu! Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua), Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi yoyote ya kunipatia liziki. Kuna mradi huwa nafuatilia hii sasa ni wiki ya pili bila mafanikio...
  13. JamiiForums Tanzania Waheshimiwa, poleni na kazi ya kulijenga taifa letu ilhali mkiubomoa utaifa wetu!

    "Poleni na kazi" Kauli hii ndiyo aghalabu ilikuwa ikitumiwa na mtu kuwapongeza ama kuwashajihisha kila awakutapo watu ama mtu kazini. Na hata wakati mtu anapotoka kazini wale wenye kutaka kumpa faraja walikuwa wakimwambia pole na kazi; hata hivyo maneno kama ilivyo maumbo ya watu na vitu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Misomisondo wana mwanasheria wa kuwasaidia kutengeneza mikataba yenye tija kwa kazi wanazofanyishwa na makampuni ya kibiashara?

    Tanzania imekuwa eneo moja wapo la matajiri kuwatumia maskini kunufaika kibiashara Vijana kutoka kijijini na makoti yao wameingia mjini; joto ni kali lakini muda wote wamevaa makoti wanacheza barabarani na kwenye kumbi kutangaza biashara za watu. Kwa fedha makampuni wanazoigiza kupitia vijana...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada wa kazi ambaye anaishi kwa kunyanyasika alipo kwa sasa

    UPDATE: Ameshapatikana mdada mbarikiwe. Anahitajika mdada wa kazi Kazi ni Dar. Nyumba ya watu 2. Anapewa kipaumbele anayetokea mazingira magumu au ambaye anaishi kwa manyanyaso kwa bosi wake wa sasa. Kwenye hii familia ataishi vizuri kwa uhuru na ushirikiano bila manyanyaso huku akisaidizana...
  16. JamiiForums Tanzania Uonevu mkubwa kwa Ebrahim Yusuph kazi wa Yemen

    Habarini Wadau, Nimesoma habari ya Mzee Ebrahim Yusuph Kazi mzaliwa wa Yemen, huyu Mzee alifungwa miaka ya 1979 na 1986 kwa makosa matano ya kuwaoa na kulala na watoto wenye chini ya miaka 13 Mwaka 2011 akiwa na miaka 67 yeye mwenyewe alikiri kumuoa mtoto wa miaka 8 na kulala nae ila kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Habarini za majukumu wana JF, Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
  18. JamiiForums Tanzania Ayub Ryoba wa TBC fanya kazi punguza uchawa

    TBC redio ni shirika la umma kwa ajili ya kuhabarisha wananchi na hasa wa hali ya kawaida bila kujali itikadi zao za kisiasa. Aidha shirika linapaswa kutoa habari na burudani kwa nchi nzima. Jambo la kusikitisha haki hii ya kupata habari na burudani haiwafikii Watanzania walio wengi kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…