chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 1,991
- 1,364
Naomba nende kwenye mada moja kwa moja.
Leo Tarehe 27 febr
Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti.
Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta katika wakati Mugumu, Afisa Elimu Sekondari (DEO) bahati yake hakuwepo kwenye kikao, mwingine ni Muazini wa Wilaya (DT), Amewekwa chini ya ulinzi kwa kutakatisha zaidi ya molioni 200.
Katika mkutano na wanachi Mbunge Mh. Amusabi alipata nafasi ya kuwakilisha hoja za wanachi, hoja zilizo wakilishwa ni kama ifuatavyo;
1: Pesa ya ujenzi ya vituo cya afya Kenyana na Ngoreme hazionekani licha ya Serikali kuleta.
2: Shule ya Sekondari Morotonga licha ya kuwekewa milioni 600, haijakamilika na Pesa hazipo.
3: Mgogoro wa vijiji vya mesaga na majimoto, DC ametulia
4: Mchina( Muzungu) kawekeza katika kuchimba madini na kufukuza wananchi Majimoto, na wananchi hawajalipwa fidia.
5: Wizi unaofanywa naviongozi wa Halmashauri, Halmashauri imejaa uozo, Baraza la Madiwani halina Dira!
Hongera sana Mbunge jimbo la Serengeti, umesimama kiume, umewambia, washindwe wao!