katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkutano wa Majumuisho Katika Ziara ya UWT Taifa Mkoa wa Geita

    UWT TAIFA WAFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA GEITA CHATANDA : VIONGOZI WA UWT MIKOANI TOKENI MKAFANYE ZIARA KWENYE MAENEO YENU, MKASIKILIZE NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Viongozi wa UWT wa Mikoa na wa Mashina...
  2. Chadema kinawasaliti Watanzania katika swala la bandari.

    Chadema ndio chama kikuu cha upinzani,but they are abdicating their responsibility. Ni kazi yao kuwakaribisha watu wote wanaoipinga serikali. Sasa inawakuwaje Sauti ya Watanganyika inawataka wadhamini mkutano wao,Chadema haitaki kuhusika? Siyo kila mtu anataka DP World wapewe bandari zetu...
  3. New York! Mafuriko ya kutisha katika jiji kubwa zaidi huko USA!

    "Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema. Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema. Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika sehemu zingine za jiji. Mamlaka za jiji zilitangaza hali ya dharura. Video inaonyesha watu...
  4. Yanga yaongoza kwa online engagements katika ukurasa rasmi wa CAF

    Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements. Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika...
  5. Kulikoni tena zile Tano Tano za katika Ligi Kuu na Kimataifa zimepungua na sasa ni mwendo wa Moko Moko tu kote kote?

    Taratibu sasa Watu wanaanza Kumsoma Kocha wenu ambaye kwa 80% anatembelea Nyota ya aliyekuwa Kocha wenu wenye Hasira na ambaye akihojiwa anachanganya Kifaransa, Kiswahili, Kindengereko na Kiingereza.
  6. Tulienda 'Kuchakura' Mchanga kama 'Kuku' katika 'Majaba' ili tupate Zawadi za 'Mchogo Pesa' ya Clouds FM leo Kinesi Ubungo tujuane tafadhali

    Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka. Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo...
  7. Viongozi wa Dini wahimizwa kuwahamasisha Waumini kutunza mazingira (ujumbe katika Mkutano wa 52 wa Ahmadiyya)

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Khamis Hamza Khamis ametoa rai kwa viongozi na Taasisi za Kidini Nchini kushiriki ipasavyo kuhimiza utunzaji wa mazingira ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza. Naibu Waziri ametasema hayo Septemba 30, 2023 Ilala, Jijini Dar es...
  8. Kama Makatibu Wakuu wa Wizara ni wale wenye Professions za Wizara husika kwanini Gerson Msigwa hajawekwa katika yake ya Media?

    Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
  9. Kumuelimsha mtoto wa kike ni kumuwekea msingi wa kuwa mkombozi katika familia yake

    Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano. Baba ukiwa mtu wa totoz...
  10. Watu hatari zaidi katika kuwa nao ni hawa

    Ni vizuri kuwa na marafiki wa aina mbalimbali kwa mtu lakini ni vizuri zaidi kuelewa aina ya marafiki ulionao. Kuwa na idadi kubwa ya marafiki siyo sababu ya mtu au Taifa kujiona linapendwa au lina msaada fulani kutokana na idadi ya marafiki. Urafiki ni muhimu ila kuelewa aina ya urafiki na...
  11. Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

    https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa. Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni...
  12. Historia ya Hermann von Wissmann Katika Vitabu Vyangu Viwili

    HISTORIA YA HERMANN VON WISSMANN KATIKA VITABU VYANGU VIWILI Tuanze na sanamu ya Hermann von Wissmann. Picha na maelezo hayo hapo chini nimeyatoa mahali katika mtandao na nimefanya uhariri kidogo: ''Kabla ya sanamu ya askari iliyowekwa na Waingereza 1927, awali palikuwa na sanamu ya Gavana wa...
  13. Hii picha katika Ajira Mianne kugombea na watu Elfu hamsini na sita sio mchezo !

    Inafikirisha Sana siku ya usahili (TRA) you can't imagine
  14. R

    Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  15. Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  16. Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
  17. I

    Ili TAKUKURU iwe na meno ishirikishwe katika mipango ya idara na mashirika ya umma

    Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo...
  18. Kuna kitu hakipo sawa katika hii Mitanadao... Ni kama wote tunalazimiswa tuwe 5G..

    Sijui kama hili naliona mimi peke angu.. Ila kuna upumbavu mkubwa unaendelea.. Uzi.
  19. Ushawahi jiuliza kwanini ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika WW2 ni maarufu zaidi kuliko ushindi wa Urusi kwa Ujerumani?

    ChartGPT anasema hivi Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa: 1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
  20. Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

    Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini. https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Lakini mara nyingi nimekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…