New York! Mafuriko ya kutisha katika jiji kubwa zaidi huko USA!

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,696
59,856
1696146677752.png

"Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema.
Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema.
Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika sehemu zingine za jiji.
Mamlaka za jiji zilitangaza hali ya dharura.
Video inaonyesha watu wakitembea katika maji yenye kina cha goti.
Barabara nyingi na vyumba vya chini ya ardhi vimefurika maji.
Trafiki ya gari ni karibu kupooza, magari yana shida kusonga ndani ya maji.
Mafuriko hayo yalisababisha usumbufu mkubwa kwa mfumo wa reli ya chini ya Ardhi Ya New York City na Mfumo wa reli ya Metro North commuter.

View: https://youtu.be/1_-V-9SDk3s?si=yb5UPPECZHqpUmCd
 
View attachment 2768334

Aisee
 
Ngoja waje; watakuambia mnyaazi m'ngu anawaadhibu makafir kana kwamba wao wana kinga ya majanga ya asili! Poleni watu wa NYC - Marekani.
 
Dar es Salaam (Kariakoo) moto, New York mafuriko! Daahhh!!!
 
Mkuu hivi ata Shanghai ulishawahi kufika? Achilia mbali New York...ni kitu gani kipo Shanghai na hakipo New York? Na kinyume chake.
 
Ngoja waje; watakuambia mnyaazi m'ngu anawaadhibu makafir kana kwamba wao wana kinga ya majanga ya asili! Poleni watu wa NYC

Ngoja waje; watakuambia mnyaazi m'ngu anawaadhibu makafir kana kwamba wao wana kinga ya majanga ya asili! Poleni watu wa NYC - Marekani.
Sina maneno mengi zaidi ya kukwambia kuwa ww ni mpumbavu wa kiwango cha rami.
 
Bado kina Mathanzua wanapinga kuhusu 'climate change'.
Sipingi kwamba kuna Climate Change,na hakuna anayepinga ipo, tunachopinga mimi na wataalamu wengine ni sababu zinazotolewa kwamba ndizo zinazo-sababisha mabadiliko hayo,tunaomba mtuelewe.Msimamo wetu ni huu,mabadiliko yanayo onekana ni "Geo-engineered" by "The Powers To Be" for their evil agenda of human eslavement and domination,you people must wake up.Na mbona patents za Geo-engineering zipo,na nimeshazileta hapa JF,mbona mnakuwa wagumu wa kuelewa,mna matatizo gani?

Human activities wanazo singizia kwamba ndizo zinazo-sababisha mabadiliko hayo si za kweli,effect yake ni kidogo sana na haziwezi kuleta mabadiliko haya makubwa tunayo-yaona.Ni kwamba wanataka ku-curtail activities hizo zetu za kimaisha ili kutuua.

Imagine Mmasai leo akatazwe kufuga,ataishi kweli;Waholanzi wakatazwe kufuga wataishi vipi;mkulima akatazwe kulima Mpunga au chochote,ataishi?So nirudie,nia la hili zengwe linaloitwa Climate Change ni depopulation of the Planet,it has got nothing to do with saving the Planet.Amkeni,you are so uninformed and asleep.

Fuata link ifuatayo uone what America has admitted,ili uelewe ninalo ongelea Proved.Someni mpate taarifa,knowledge is power.

Air Force Bombshell: Admits They Can Control Weather – HAARP
 
Back
Top Bottom