katiba

  1. T

    JamiiForums Tanzania BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  2. JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Katiba Mpya ni ajenda ya Wanaotaka Madaraka, umekosa ushawishi

    Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi. Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu

    Mahakama ya juu zaidi nchini DRC imeamua Jumatatu (Novemba 15) kwamba haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa waziri mkuu Seneta Augustin Matata Ponyo. Seneta mteule wa bunge la sasa, Augustin Matata Ponyo anashutumiwa kwa ubadhirifu wa mamia ya mamilioni ya dola zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni uzushi

    MAISHA: Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu. Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama, Upuuzi n.k. Maisha safi, ni vitu vitatu KUVISHIKA. Navyo ni~ 1) Uaminifu, 2) Heshimu na 3) Utii...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Balozi Tsere ataka Rais Samia kukaa na Wapinzani kama Kikwete ili kujadili Katiba Mpya

    Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa. Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yu wapi aliyesigina Kitabu cha Andiko la Katiba huko nyuma?

    Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii iliishia wapi na huyo Bwana yu wapi?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba hii, Tanzania imefikia mwisho wa kupiga hatua za maendeleo, kama hatutatumia hiari tutakaribisha tunakaribisha mapinduzi

    Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya watanzania wanaishi chini ya $2 (TSH.4600) na zaidi ya 86% wanaishi chini ya msitari wa umaskini yaani...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka Katiba Mpya nawapa hoja

    Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa. Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge bila Kambi Rasmi ya Upinzani ni ukiukwaji wa Katiba

    Wadau, Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa. Kwa mujibu wa katiba iliyopo bunge lazima liwe na Kambi Rasmi ya Upinzani, Mkuu wa Kambi, Mnadhimu Mkuu na Mawaziri Vivuli. Tumeshuhudia Bunge lililopo halina Kambi Rasmi ya Upinzani Halina Mnadhimu Mkuu Halina Mawaziri Vivuli Halina...
  11. JamiiForums Tanzania Hata kwenye Katiba inayotubana kuna viongozi wenye nafuu, sijaona mbadala wa Rais Samia

    Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa, Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu. Hebu naomba ukumbuke tu kile kipindi cha magufuli yani katiba ilitumika ndivyo sivyo, uhuru wa kujieleza...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Katiba lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo

    "Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika. Lazima katiba nayo ibadilike. Katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo, kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa ITV Dakika45.
  13. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya isiyoitoa CCM ni kama kijarida tu

    Kwa uchache sana ili nisiwachoshe. 1. CCM ni chama cha hovyo, hakizingatii Katiba ya nchi wala sheria. Mambo yanafanywa kwa utashi zaidi. Utasikia Rais katoa bilioni 2. Inatia uchungu sana. 2. CCM ni chama cha hovyo hata mambo yaliyopo kwenye katiba hii mtumba hawataki kuzingatia. Mtu anapiga...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?

    Tukubali kuziweka siasa pembeni. Kama ilivyo kwa mwenda kuoga, tukubali kuyavulia maji nguo, tuukabili ukweli usiosemeka: 1. Ridhaa ya kuongoza nchi hupatikana kutoka kwa wananchi. 2. Haiwezekani popote kuwa ridhaa hiyo ikatolewa kwa mtu ambaye agenda zake hakuna kuheshimu usawa, uhuru wala...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu conjugal rights kwa inmates

    Salam wakuu, Naomba kuuliza kwa wataalam wa Sheria, je katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu conjugal rights kwa inmates. Kwa mfano nchi ya USA majimbo kama California, Connecticut, Mississippi, New Mexico, new York na Washington wanaruhusu conjugal visits kwa inmates.
  16. JamiiForums Tanzania Wadau badilisheni mbinu ya kudai Katiba Mpya

    Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
  17. JamiiForums Tanzania "Katiba, Katiba, Katiba...", msikilize Jaji Warioba kuhusu Katiba mpya

    Wanajukwaa, Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini ninahitaji Katiba mpya?

    Kuna watu hasa viongozi wachache ambao kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanayoyajua wao wamekua wakitumia mwanya wa ujinga wa wananchi na shida zao kuwaambia maneno ya Kitapeli eti katiba mpya haiwezi kuwapa maji,afya wala Barabara,eti wanaotaka katiba mpya ni wenye uchu wa madaraka. Huu...
  19. JamiiForums Tanzania Nadhani Rais Samia atatupatia Katiba Mpya kabla hajaondoka Madarakani

    Rais Samia alisema tumpe muda ajenge uchumi kisha suala la Katiba Mpya litafuata. Hakulipuuza, alisema tumpe muda muda. Naona sasa anakwenda vyema, hii awamu ya kwanza katika Urais wake (2021-2025) itatosha sana kujenga uchumi imara. Naamini kama Mungu atatuweka hai, 2025 kwenye kampeni zake...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa ni nini?

    Kwanini wewe unachangia jukwaa la siasa? Siasa kwako ina maana gani, hasaa; na upo tayari kusimamia msimamo wako muda wowote na kwa gharama yoyote. Siasa kwako ni utu? Siasa kwako ni sheria na mipaka ya kutaka kuongozwa (katiba). Siasa kwako ni sera zenye kuinua jamii? Siasa kwako ni njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…