katiba mpya

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama hamtaki Katiba mpya kwasasa, basi ruhusuni CCM isimame kwa miguu yake nyakati za uchaguzi

    Hizo organs nilizozitaja hapo juu; Majeshi Vyombo vya usalama Deep state Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo. Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kuenzi jitihada za kudai katiba mpya za kamanda Mbowe, makongamno yendelee nchi nzima

    Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze. Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena. My take: Hakuna kubaki nyuma na kurudi nyuma. Mbele kwa mbele kudai katiba mpya.
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya

    Ni wazi kuwa kupata katiba mpya hakuwezi kuwa kwa lelemama. Ni wazi kuwa uwepo wa wahafidhina wenye maslahi na katiba iliyopo ndiyo kilicho kikwazo pekee. Ni wazi kuwa wenye uthubutu wa kuzisukuma mbele jitihada hizi takatifu za kuwafanya wahafidhina hawa kusikia ni Chadema. Ni wazi kuwa...
  4. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Si Matakwa ya watawala kutuletea katiba mpya. Ni maagizo ya Wananchi

    Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni matokeo ya matukio mabaya ndio watawala huona na kukubali yaishe. Je, tunataka kwenda huko tulikozoea...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tutambuane, nani ni nani katika kudai Katiba mpya

    Madai ya kupata katiba mpya ni mapambano ya haki ambayo hayawezi kukamilika bila ya kupata katiba nyingine tofauti na iliyopo. Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya wapiganaji (Mola awafanyie wepesi) tayari wako mikononi mwa watesi wetu. Wao wametangulia na hakuna mpambanaji aliye salama. Pamoja na...
  6. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Thesis ya Mwigulu Nchemba phd

    Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? Tusisubiri ya Kenya

    Thursday August 19 2021 Na Daniel Mjema Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeihitaji isipokuwa ni wanasiasa. Kundi hilo limeamua kuvaa miwani myeusi...
  8. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Kinachoniuma mimi Mwananchi ni jasho langu kuwatajirisha wanasiasa

    Kinachoniuma mimi ni hela za jasho langu ndizo zinazowapa utajiri wanasiasa. Yaani mavazi ya raisi, safari za nje za raisi, magari ya wabunge na mishahara ya wabunge vyote ni jasho la wananchi. Lakini kama hiyo haitoshi, tumeongezewa kodi na tozo nyingine ambazo nazo zitaliwa na wanasiasa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu apinga suala la Katiba Mpya

    Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vyataka mchakato wa Katiba mpya uanzie pale ulipoishia kwenye BMK ili kuokoa fedha na muda

    Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa. Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Makongamano ya kudai Katiba Mpya, Haki za Msingi ziheshimiwe

    Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kuendelea kuvurumishwa nchi nzima. Kituo kinachofuata ni Mkoa wa Mara

    Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi Kwa mujibu wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kipi kianze?

    Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na serikali iliyopo madarakani. Hapo awali kulikuwa na vuguvugu kubwa la kudai tume huru ya uchaguzi...
  15. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Kudai Katiba Mpya kuna kosa gani kisheria?

    Hivi polisi hawa ambao ama kwa makusudi au hawaelewi kitu, kudai katiba mpya kuna kosa gani kisheria? Hivi unapomkamata mtu ambaye anadai kitu ambacho kimeruhusiwa kisheria utakua unaelewa nini? Au ukampiga mtu na kumuua au kumuumiza sababu tu amedai katiba mpya ambayo ni haki, ukifunguliwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamekatazwa kukusanyika lakini mikusanyiko ya viongozi wa CCM inaendelea

    Kwani Serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wanapokutana katika mambo yao ya katiba mpya na CHADEMA digital lakini wao hata baada ya kuweka katazo la kuwa na mikusanyiko lakin bado wao wanakusanyika Je na CHADEMA waendeleze mikusanyiko yao ya kutoa elimu ya katiba mpya na CHADEMA digital...
  17. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru Tanzania ina Katiba 3 ambazo hazikushirikisha wananchi

    Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru wake mwaka 1961 Katiba ya kwanza iliandaliwa uingereza na kuleta tanganyika na kuanza kutumika baada ya kuonekana ina mapungufu. Mwaka 1962 waliteuliwa wabunge 71 wakaifanyia marekebisho bila kupata maoni na mapendekezo ya wananchi. Mwaka 1977 waliteuliwa...
  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CCM kuendelea kujimilikisha nchi kiharamu mwisho umefika. Hatutakubali tena

    Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Katiba Mpya: Mtazamo wa Serikali na Wananchi

  20. S

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya kuwa alifanya uhalifu kwa amri ya mamlaka iliyomteua ni sababu kubwa kwa nini Tanzania tunahitaji mabadiliko ya Katiba

    Naamini kwa dhati kabisa kile alichosema Sabaya, kwamba matendo ya kihalifu aliyofanya Arusha ilikuwa maagizo toka mamlaka iliyomteua na alipaswa kutii. Sabaya ameenda mbali, akasema haikuwa mara ya kwanza kupewa maagizo kama hayo. Na ni wazi kwamba Sabaya kama Mkuu wa Wilaya nje ya Arusha...
Back
Top Bottom